Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Basi nitaacha dear [emoji19][emoji19]

Ila hadi sasa nimeshawaahidi watu kama kumi hivi kuwa nitaacha maana wengi wanaonizunguka hawanywi hivyo pia hawapendi kuniona nakunywa. Ila hata sioni dalili za kuacha daah.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ninachocheka usiniulize
Uache ili uwe mchawii piga beer Anne nisamehe tu bure hakuna namna
 
Ukipita kituo chetu am sure gari litakusukuma uingie.

IMG_20220111_202324.jpg

IMG_20220111_202424.jpg
 
Mie kutaka shkamoo huwa naona kama ni Umwinyi fulani hivi
Zinakuja tu zenyewe ,,nikipewa siziachi.

Kuna jirani yangu anapenda shkamoo huyo,,,ila yeye kukuanza kusema hujambo hajui!
Sasa kumbe kuna siku sikumuona nikampita bila kumsalimia..akaanza kunisimanga.
Juzi kati nimemtolea uvivu.
 
Teh kwa kweli mimi sipendi kusalimiwa shkamoo. Na wala sipendi mtu anayelazimisha kusalimiwa shkamoo.
 
Back
Top Bottom