Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nilikwambia uniletee,,Nimekwambia njoo nikupe Smirn off hutaki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ninachocheka usiniulizeBasi nitaacha dear [emoji19][emoji19]
Ila hadi sasa nimeshawaahidi watu kama kumi hivi kuwa nitaacha maana wengi wanaonizunguka hawanywi hivyo pia hawapendi kuniona nakunywa. Ila hata sioni dalili za kuacha daah.
Upanga pale kwa maeneo ya Mzee Tambaza ni Uswazi aisee!Obay,Masaki,Upanga hazina uswazi.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji120][emoji120][emoji3059]
Jamaaaniii [emoji22][emoji22]Sikutegemea kama unakunywa pombe.
Siku niliyoona dah! Nilisikitika mno...nikakuvutia picha jinsi ulivyo,unavyoongea,binti mdogo unafukia bia?!!
Bora uache aisee[emoji19]
Kwani ni lini mlisema tuonane tukawachomesha mahindi [emoji849][emoji849]Mchezo wenu huu we na Makiwendo wa kutuchomesha mahindi muache
Mie kutaka shkamoo huwa naona kama ni Umwinyi fulani hiviYaani mimi ninavyozipenda shkamoo ..ningekuwa na mdogo yaani angekuwa ananiamkia hadi basi.
😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ninachocheka usiniulize
Uache ili uwe mchawii piga beer Anne nisamehe tu bure hakuna namna
Kha nimecheka kumbe nawe mchokozi namna hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ninachocheka usiniulize
Uache ili uwe mchawii piga beer Anne nisamehe tu bure hakuna namna
Zinakuja tu zenyewe ,,nikipewa siziachi.Mie kutaka shkamoo huwa naona kama ni Umwinyi fulani hivi
Pole sana chief. Barabara zetu na mwendo kasi vinakula sana watu aisee!Hii ajali imeondoka na mshkaji wangu.
Alikuwa anafanya kazi ofisi ya mkuu wa mkoa mwanza.
Teh kwa kweli mimi sipendi kusalimiwa shkamoo. Na wala sipendi mtu anayelazimisha kusalimiwa shkamoo.Zinakuja tu zenyewe ,,nikipewa siziachi.
Kuna jirani yangu anapenda shkamoo huyo,,,ila yeye kukuanza kusema hujambo hajui!
Sasa kumbe kuna siku sikumuona nikampita bila kumsalimia..akaanza kunisimanga.
Juzi kati nimemtolea uvivu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Tuendelee kulewa karma wanguKha nimecheka kumbe nawe mchokozi namna hiyo [emoji1787][emoji1787]
Hao wanaolazimisha sasa ndio wanakera.Teh kwa kweli mimi sipendi kusalimiwa shkamoo. Na wala sipendi mtu anayelazimisha kusalimiwa shkamoo.
Pengine tungeambiana uswazi kunamaanisha nini! Kwa Mzee Tambaza hadi mitaa ya kuelekea Muhimbili kutokea njia panda ya Diamond, pamekaa kiuswazi uswazi. Pale hadi kuna vigenge aisee! Ushuani huwezi kuta genge!Not really. Kuna nyumba zao,msikiti na vitu vichache. Kama nyumba kuwa chakavu ndio uswazi labda.
Huyu rafiki yangu siwezi kumuacha anakunywa mipombe😂.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama mtumishi kwenye swala la beer ebu tuache kidogo beer tamu bwana
Halafu humu wapi sijakosea njia kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2296][emoji2296] nilijua selfikaHuyu rafiki yangu siwezi kumuacha anakunywa mipombe[emoji23].
Ntakuwa namsema siku moja moja hivihivi.