Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hiyo ya moto sana mzeee.. hata color yake na namna ilivyo.. huo moto sanaaa kuna Panamera used $ 25,000 sema TRA mtauana 😁😁😁hii chuma Kajala akiingia hatoki
 
Hiyo ya moto sana mzeee.. hata color yake na namna ilivyo.. huo moto sanaaa kuna Panamera used $ 25,000 sema TRA mtauana 😁😁😁hii chuma Kajala akiingia hatoki View attachment 2081814
Hiyo ya $25,000 sije ikawa ya Singapore.

Huyo Kajala umempa airtime sana kwenye huyo mnyama, Kuna jamaa Yangu ukimpa kazi ya kukuletea Kajala anakuletea na Passo yake andaa Pesa madafu tu.
 
Hiyo ya $25,000 sije ikawa ya Singapore.

Huyo Kajala umempa airtime sana kwenye huyo mnyama, Kuna jamaa Yangu ukimpa kazi ya kukuletea Kajala anakuletea na Passo yake andaa Pesa madafu tu.
Uzinzi mbaya saana, eti nimeshawishika kuuliza niandae kama ngapi mzee mwenzangu.

"Pepo wa ngono toka, toka shetani, mjaalana wewe"
 
Hiyo ya $25,000 sije ikawa ya Singapore.

Huyo Kajala umempa airtime sana kwenye huyo mnyama, Kuna jamaa Yangu ukimpa kazi ya kukuletea Kajala anakuletea na Passo yake andaa Pesa madafu tu.
na kweli nimeona ni ya Singapore shenzi sana hawaa.. sema ile yutong kuipundua pundua inahitaji torque ya maana, maana imezoea kash kash 😂😂😂
 
Si uchukue VW Phaeton W12, inakupa around 450HP. Hii gari was way ahead its time. Nafikiri ilitoka miaka ya 2000 mwanzoni hadi 2014. Inashare engine na Bentley, ila unapata kwa bei za the people’s car haswa.

Ni mbadala mzuri wa RS6 kama pesa haijatulia bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…