Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimeicheki, ni proper merc grille. Inavutia. Jirani yangu ana 2011 E350, namwonaga anavyohenya kunegotiate barabara mbovu ya huku kitaa. Mita kama 200 tu kutoka lami ila ni mtiti haswa. Anatoka nalo mara moja moja sana, siku nyingine anatumia probox. Nadhani hayo ndio matumizi sahihi ya gari kama hizo.

Ukikaa humo mzee lazima utaijua idadi na aina ya matuta yote kwenye njia unazotumia. Kuna aina ya matuta yanagusisha gari chini na matuta mengine ni safe kuyapanda straight on. Usiwakasirikie tu makandarasi
Hiyo ni worry yangu kubwa. Gari inakutesa mmiliki.

I'm still researching bro.
 
Analysts wengi wanatoa projections za oil kufika na kutoboa $100 kwa pipa kwa mwaka huu. Huku bei inaweza cheza 2800 - 3500.

In 5 years inaweza cheza kwenye $200 kwa pipa. Ambapo huku bei inaweza fika 5000 - 6000.

Tuongeze juhudi za kuzisaka.
 

Attachments

  • 20220114_052844.jpg
    20220114_052844.jpg
    42.9 KB · Views: 18
Back
Top Bottom