Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
😀😀😀.. mipango na mapenzi tu.. mie cha kwanza nachopenda ni magariSie wengine hapa kununua gari za 200M kuendelea labda ziwe made of vibranium [emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀.. mipango na mapenzi tu.. mie cha kwanza nachopenda ni magariSie wengine hapa kununua gari za 200M kuendelea labda ziwe made of vibranium [emoji1787][emoji1787]
Panamera ni kisanga 😂😂😂Kuna jamaa Kenya anauza magari.
Kaagiza Panamera kakosa mteja, amishia kuitumia mwenyewe.
Page yake intsagram inaitwa Imports by Kairo. Ila mostly anaagiza magari ya Singapore.
Lete picha za trip bossNilipata forester XT ,ingawa kwa tabu na madeni ya hapa na pale ,yote kwasababu ya huu uzi.
C350 itapendeza mkuuNataka niachane na BMW sahivi.
Ntakuwa naishi kifaza sasa, Porsche au Mercedes.
Kwa kuanzia nataka nitest maji na Mercedes C200/C300 ya 2014.
Na Id uweke Daimler kuonyesha msisitizo.Nataka niachane na BMW sahivi.
Ntakuwa naishi kifaza sasa, Porsche au Mercedes.
Kwa kuanzia nataka nitest maji na Mercedes C200/C300 ya 2014.
M8 Competition Gran CoupeMkuu mie sedan tu mzeee,
RS6 sedan inapendeza zaidi..M8 Competition Gran Coupe
AMG gt 63
RS6.
Natest maji mzee.Na Id uweke Daimler kuonyesha msisitizo.
Na hizi si sedan? Sedan na wewe wapi na wapi?
Ngoja nikienda Dom ntatupia.Lete picha za trip boss
Hii mafuta yalitokeza kabisa?Saint Anne nimechangamkiwa mpaka nimeacha chenji, eti akanywe maji.
Nitarudi.
View attachment 2079443
Nimeicheki, ni proper merc grille. Inavutia. Jirani yangu ana 2011 E350, namwonaga anavyohenya kunegotiate barabara mbovu ya huku kitaa. Mita kama 200 tu kutoka lami ila ni mtiti haswa. Anatoka nalo mara moja moja sana, siku nyingine anatumia probox. Nadhani hayo ndio matumizi sahihi ya gari kama hizo.Natest maji mzee.
Ikinishinda itakuwa ya kwenda kanisani.
Napenda kale kamuonekano ka mbele.
Ndo maana nika specify ya 2014.
View attachment 2079734
Huwa siruhusu wajaze mpaka juu, inatapika. Nozzle ikishakata namsimamia anaongezea kidogo tu, isivuke TSh 1000.Hii mafuta yalitokeza kabisa?
Poa mkuu enjoy your ride. Usisahau kuipersonalize iendane na vile unavyotaka. Na usikubali unyonge, mwaga moto mpaka tuje kusimulia kuna IST ilinikata sikuiona tena 😀😀😀Ngoja nikienda Dom ntatupia.
Over 600km nilipata 10.6km/L na nilikuwa namwaga Moto haswa.Duh. Si 700km hizo? 11kmpl? Mi nishawahi piga karibu 600 nikiwa trip na tenki moja
Hili tenki lililoisha limekaa 390km tu, 5.5kmpl.
Kuendesha majini mjini hasara tupu
Haya mambo ndio mafundi wetu hawayataki.. 😀😀😀
JituMirabaMinne
RRONDO
mtongwe Extrovert ISO M.CodD View attachment 2079535
Iangalie vizuri hiyo sehemu ya engine 😊😊😊 mafundi wetu wa mmbuyuni kuna mawili tu hapoHahah kwann mkuu?
🤣 Utarudi nayo kama ulivokuja nayo.Iangalie vizuri hiyo sehemu ya engine 😊😊😊 mafundi wetu wa mmbuyuni kuna mawili tu hapo