Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nataka niachane na BMW sahivi.

Ntakuwa naishi kifaza sasa, Porsche au Mercedes.

Kwa kuanzia nataka nitest maji na Mercedes C200/C300 ya 2014.
C350 itapendeza mkuu
Screenshot_20220113_190707.jpg
 
Natest maji mzee.

Ikinishinda itakuwa ya kwenda kanisani.

Napenda kale kamuonekano ka mbele.

Ndo maana nika specify ya 2014.


View attachment 2079734
Nimeicheki, ni proper merc grille. Inavutia. Jirani yangu ana 2011 E350, namwonaga anavyohenya kunegotiate barabara mbovu ya huku kitaa. Mita kama 200 tu kutoka lami ila ni mtiti haswa. Anatoka nalo mara moja moja sana, siku nyingine anatumia probox. Nadhani hayo ndio matumizi sahihi ya gari kama hizo.

Ukikaa humo mzee lazima utaijua idadi na aina ya matuta yote kwenye njia unazotumia. Kuna aina ya matuta yanagusisha gari chini na matuta mengine ni safe kuyapanda straight on. Usiwakasirikie tu makandarasi
 
Back
Top Bottom