Hapo dereva kabana matumizi ya mafuta kwa hiyo yamebaki mengi anachofanya ni kuongezea sababu akirudisha pesa siku nyingine atapewa 60k badala ya 100kDeficit ya zaidi ya lita 15 hiyo. Anaicover vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo dereva kabana matumizi ya mafuta kwa hiyo yamebaki mengi anachofanya ni kuongezea sababu akirudisha pesa siku nyingine atapewa 60k badala ya 100kDeficit ya zaidi ya lita 15 hiyo. Anaicover vipi?
Hahaaa ila unaambiwa bora ng'ombe mkuu nasikia ukigonga punda lazima gari iharibike vibaya. Hadi leo najiulizaga wana nini punda sijawahi shuhudia gari ikigonga punda inakuwaje.Ng'ombe bana, nikisafiri unakuta gari imekolea halafu wapo pembeni wanakula majani huwa najiuliza hawa ng;ombe wakiamua kuvuka hapa patatosha kweli?!!
Ohoo yaani ni mwendo wa kujisevia tu [emoji16][emoji16]Wanakula uwanja mzima?
Punda hata Mimi nimesikia ni balaa. Wanasema na udogo ule ni mzito piaHahaaa ila unaambiwa bora ng'ombe mkuu nasikia ukigonga punda lazima gari iharibike vibaya. Hadi leo najiulizaga wana nini punda sijawahi shuhudia gari ikigonga punda inakuwaje.
Kuna mwamba alinifanyia huo mchezo na MB kama ile ya Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliyopewa na mama. Nimemfuata kapiga overtake mbili tatu kayeyuka. Nikasema Amin.Mashine hio ukivuka tuta moja, ukakanyaga yakija matuta mengine sitakuona umepita wapi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaaa ila unaambiwa bora ng'ombe mkuu nasikia ukigonga punda lazima gari iharibike vibaya. Hadi leo najiulizaga wana nini punda sijawahi shuhudia gari ikigonga punda inakuwaje.
Amarok ina 250hp na 420lb/ft.Basi nikikutana nayo ntakuwa na discipline nisije kuadhirika
Mwaka 2018 nikiwa natoka bagamoyo kuja dar nilishuhudiaga tukio la kushangaza na kustaajabisha sana, tukio lilikua hivi...Im sorry to say this lakini Bongo tunaishi tu ili mradi ndio maana ajali za hovyo hovyo ni nyingi.
Leo tu Ng'ombe kakatiza mbele yangu, uzuri tu nilipoona kundi kwa mbali nilipunguza mwendo kujihami. Kipande cha Vigwaza - Chalinze hapo.Ng'ombe bana, nikisafiri unakuta gari imekolea halafu wapo pembeni wanakula majani huwa najiuliza hawa ng;ombe wakiamua kuvuka hapa patatosha kweli?!!
Itakuwa punda ni wazito kuzidi ng'ombe labda.Hahaaa ila unaambiwa bora ng'ombe mkuu nasikia ukigonga punda lazima gari iharibike vibaya. Hadi leo najiulizaga wana nini punda sijawahi shuhudia gari ikigonga punda inakuwaje.
Siku hizi mkuu mtu anaendesha gari tatu, boda boda mbili kushoto na boda boda nyingine mbili kulia.....Kuna wakati inafika ujuta kuishi Hapa Tanganyika..Sure mkuu watu hawajali kabisa maana mtu anaweza kuwa anaendesha vizuri kwa kufuata sheria ila akaponzwa na wenzie wazembe wanaojifanya wajanja. Hawa ndiyo wanafanya mtu ulazimike kuendesha magari matatu kwa wakati mmoja.
Mtu akipata ajali huwa namsikitikia sana...Duuh pole mkuu mimi wakati najifunza niliwahi kugonga hadi ng'ombe wa watu kwenye kona ila cha kushukuru hakufa. Alianguka tu number plate ikamkata kidogo kwenye mguu.
Nyama Yao ngumu Sana. Kuna watumishi wa govnnt waligomga punda njia ya Dom -iringa Miaka ya nyuma kidogo, hakutoka mtu.Hahaaa ila unaambiwa bora ng'ombe mkuu nasikia ukigonga punda lazima gari iharibike vibaya. Hadi leo najiulizaga wana nini punda sijawahi shuhudia gari ikigonga punda inakuwaje.
Niliwahi pewa hii story.Nyama Yao ngumu Sana. Kuna watumishi wa govnnt waligomga punda njia ya Dom -iringa Miaka ya nyuma kidogo, hakutoka mtu.
😁😁😁😁 nyie mnasehemu yenu specialNa sisi wa passo unatuzungumziaje?😀
Pangekuwa na ukungu kama huu ambapo unaona mita 20 tu mbele je? Angeweza kutembelea full? Full kwenye ukungu inapunguza visibility.Mwaka 2018 nikiwa natoka bagamoyo kuja dar nilishuhudiaga tukio la kushangaza na kustaajabisha sana, tukio lilikua hivi...
Ilikua usiku mida ya saa 4 hivi, Niko barabarani na mbele yangu kulikua na Noah ikiwa imewasha full, Sasa mbele yetu gari zikawa zikimkumbusha (zikimpigia full na beam ili kumzindua Kama kajisahau) lakini yule Noah aliganda vilevile na full yake.
Nikahisi pengine huyu ni mgeni barabarani hajui lugha za ishara, au ni dharau tu akijijali yeye... Basi mbele ikawa inakuja ile Scania tipper ya mchanga, ikampiga full na beam Kama Mara tatu hivi Noah akawa Bado kaganda vilevile na full yake, yule Scania akazima taa kabisa alafu akawasha, Bado Noah kaganda na full vile vile.
Basi bila kutarajia ile Scania ilihama mguu mmoja kutoka kwake kuja kwetu ( kumbuka mm Niko nyuma ya Noah hapo [emoji28]) nilipigwa na butwaa nikapanic then nikakanyaga brakes za ghafra Sana Hadi waliolala ndani wakaamka, basi sekunde chache tu nikashuhudia Noah ikipalazwa ubavuni maana jamaa wa Noah aliyumba kidogo ndo ikawa salama yake kupalazwa Hadi kilo Cha ubavuni upande wa nyuma kikavunjika na Scania hakusimama
Tukio hili lilinifikirisha Sana, na tangu siku hiyo huwa Niko making Sana taa zangu hasa zikitokea hizi tipper za mchanga huwa nakua making ni Sana aisee, maana jamaa wa Scania alitafsiri kaletewa dharau, akaona ngoja amuoneshe kuwa hapendagi ujinga.
Tuweni makini na taa zetu jamani Kuna watu wamepinda huko road hasa hao waendesha tipper za mchanga, si ajabu kumkuta Anapuliza bangi huku akishushia na K vant on the wheel.
Binadamu tuko very creative, toka enzi na hata sasaNiliwahi pewa hii story.
Zamani miaka kabla ya Yesu, watu ambao hawakuwa na silaha kama mapanga au mikuki walikuwa wanachukua mifupa ya punda, wanaichonga fresh wanaitumia kama silaha.
Mifupa na misuli ya punda ni migumu sana kwasababu kila siku anafanyishwa kazi. Hivi vigari vidogo havina mabati ya kuitawanya ile mifupa.
Ukigonga punda ni kama umegonga ukuta.
+1 for defensive driving na situational awarenessLeo tu Ng'ombe kakatiza mbele yangu, uzuri tu nilipoona kundi kwa mbali nilipunguza mwendo kujihami. Kipande cha Vigwaza - Chalinze hapo.