Duuh hapa mzee Mimi sitoboi, ni bora niparkPangekuwa na ukungu kama huu ambapo unaona mita 20 tu mbele je? Angeweza kutembelea full? Full kwenye ukungu inapunguza visibility.
Hii juzi hapo makambako
View attachment 2089737
😀😀😀 ndio watu wa subie wanavyopenda na mwisho wanakuwa na tabasamu kama hako ka mremboNdio zinavyoendeshwa hivi?
Kama njia ya kusini vile....Kuchimba dawaView attachment 2090427
Mkuu hi ulaya huko 😁😁Hapo wapi? Mlimani city?
huku kwetu ukisema Toyo wanajua ni boda[emoji848][emoji848]Hapana sio kweli mie si diss toyota.. just fun.. Ila Nissan ni kama mjerumani alie poa.. huwezi mlinganisha na toyo
Mzee hataki kusikia habari za bima 😁😁Itakuwa US naona McD kwa mbali
170 sio fair mkuu, maliza kabisaaa chombo mpyaaa kabisa hiyooNaitafutia safari niguse hata 170...View attachment 2090517
😀😀😀😀 ungemsindikiza na la mgongoo..Kuna bodaboda kakosakosa bumper ya Disco 4 hapa, niko kwa miguu bado kidogo nimnase kofi! Nimejikuta tu 😀😀😀😀😀😀
Kupoa kwenye upande gani?Wote ni wajerumani waliopoa. Au tuseme Nissan ni BMW/VW aliyepoa na Toyota ni Porsche/MB aliyepoa eh. [emoji16][emoji41]
Watu wanaigana sana bongo.Uko informed sana na hizi mambo...! Dualis tulijua its a matter of time tu.😀😀😀😀😀😀
aisee nikajua utasema 240 hiyo 170 unaipata chap tuNaitafutia safari niguse hata 170...View attachment 2090517