Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
😁😁😁😁 muuaji weweeeaisee nikajua utasema 240 hiyo 170 unaipata chap tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁😁 muuaji weweeeaisee nikajua utasema 240 hiyo 170 unaipata chap tu
hapa hadi aje KarmaWewe umetuelewa.
Zaidi ya hapo mkuu ni kuchungulia kaburi170 sio fair mkuu, maliza kabisaaa chombo mpyaaa kabisa hiyoo
[emoji1787]hamna jamaa aache uoga na ndiyo maana ikawekwa cha kuzingatia na cha msingi sana awe peke yake kwa hiyo trip[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] muuaji weweee
😁😁😁 kuwa peke yake hainogi.. raha akiwa na mpenzi wake[emoji1787]hamna jamaa aache uoga na ndiyo maana ikawekwa cha kuzingatia na cha msingi sana awe peke yake kwa hiyo trip[emoji1787]
Akiwa naye hatofika hiyo akijitahidi sana ataenda 100 au kama sio peke yake basi awe na wana hapo sawa huku nyuma wana wanapiga vitu vyao utasikia kamua kamua baba bado sijaonaaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16] kuwa peke yake hainogi.. raha akiwa na mpenzi wake
😄😄😄 masela sio watuAkiwa naye hatofika hiyo akijitahidi sana ataenda 100 au kama sio peke yake basi awe na wana hapo sawa huku nyuma wana wanapiga vitu vyao utasikia kamua kamua baba bado sijaonaaaaaa
HandeniKama njia ya kusini vile....
yaan usiombe uwe nao trip watakupump hadi unajaa bila ya kupenda utasikia aaah aisee kwel IST inakupita mzee hauko serious kabisa halafu unatuaibisha kama vitu ruka nyuma achia steering[emoji1][emoji1][emoji1] masela sio watu
😃😃😃 sema wasela huwa napo wanakutana na vichwa vibovu huwa wanaomba poo wenyewe 😄😄😄yaan usiombe uwe nao trip watakupump hadi unajaa bila ya kupenda utasikia aaah aisee kwel IST inakupita mzee hauko serious kabisa halafu unatuaibisha kama vitu ruka nyuma achia steering
Mpaka rangi ukashindwa kuitambua. Jamaa alifungua pump.Crown wamoto sana Kuna Moja hiyo ilitupita maeneo ya Tanga mbele mbele kidog huyo nadhani alikuwa anachezea 160+ ilikuwa sijui Black ama silver flan hiv daahhhh
Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma - kondoa unafika 180 vizuri na unatulia hapo Kwa dakika kadhaaNaitafutia safari niguse hata 170...View attachment 2090517
[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2] sema wasela huwa napo wanakutana na vichwa vibovu huwa wanaomba poo wenyewe [emoji1][emoji1][emoji1]
Acha utani! Gusa 200 tu halafu endelea na mwendo wako 😂😂Naitafutia safari niguse hata 170...View attachment 2090517
Kuna watu gari zao hazijui 180 asee..Acha utani! Gusa 200 tu halafu endelea na mwendo wako 😂😂
Pole sana, hii ndio sababu sipendi kuendesha usiku. Kingine mtu akiwa anaendesha na mbele kuna lori au gari lolote anachochea tu ili alipite bila kujua kuwa unapoikaribia ile gari na mwendo wako mkubwa mbele inaweza kutokea gari ingine ushindwe kupita utaingia nyuma ya lori au porini.
Ni kweli kabisa watu wa malori ni watu wanajitoa sana kwenye majanga. Sisi wa magari madogo tunajiona tuna haraka zetu bila kujua kilomita chache mbele unaweza kuwa wewe unaehitaji msaada.