Pole sana bro leo ndo naingia hukuWakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Gari gani hiiView attachment 2066471
Dar-Arusha-Dar na misele ya Arusha nimetembea km 1310, nimetumia wese 340,000/-. Wakati wa kurudi nimekamua sana.
Average 10.6km/L
Progress nayo si mchezo kwenye mbio......ukiwa na engine ya 1jzNimepaki hapa dakika 20. Imepita Toyota Progres moja imeiva vibaya mno. Ndio gari pekee iliyopita hapa muda wote huo.
Kuna kimeo nakisolve then nianze trip kuupanda mlima
View attachment 2094113
Sijaacha kuwa na mapenzi na hii chuma.....na bado ninayo na kuuza ni ngumu,sababu kubwa hakuna mteja atakaefika bei nitakayoitakaChuma cha Mjapan speedometer imeacha kusoma at 250,000kmView attachment 2095425View attachment 2095427
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Karma mambo mrembo?View attachment 2096471
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]Karma mambo mrembo?View attachment 2096471
GX100 1g, 2.4 d. Muungurumo wake huwa unsnikosha Sana.Yeah
Mpatie 9.8ms squared aitoe mafua mpaka Kahama au Mwanza.Sijafuatilia sana kwasababu gari yenyewe siitumii ipo tu naipasha moto siku moja moja tu.
Unaenda Ofisini kwao Kisha watakupa makadirio ya Kodi ya gari hiyo ambayo haipo utaulizwa Bei au invoice yake.Nipo curious.
Gari ambayo haipo kwenye tra calculator, wanatumia utaratibu gani kutafuta kodi ya gari husika?
asee umejuaje hapa nasafari ya mwanza.. sema naondoka jumamosi usiku, jumapili asubuhi kahama.. umelenga 😀😀😀Mpatie 9.8ms squared aitoe mafua mpaka Kahama au Mwanza.