Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Hawa jamaa wa boda boda wanakera sana...Boda bwana ukiwaogopa inakuwaga kama ndo unawaita. Hawanaga cha kushoto wala kulia kote wanaovertake tena kwa mkwala kabisa sijui wanataka usimame wapite?
Hawa jamaa siku sio nyingi watapita juu wataona ubavuni hapatoshi wana haraka sana.
Honi bwana sijui shida huwa iko wapi Dar. Aisee hizi driving schools ni za kuchunguzwa na serikali [emoji1787][emoji1787] tena tume maalum kabisa iundwe
Usiwe mwepesi kuogopa utazoea tu. Kuna Malori ya mawe yale mafuso utazoea wewe keep calm hata iweje na uwe alert. Wengi mabarabarani ni wehu tu sasa lazima uwe makini times two.
na kikaptula chini ya tako na chupi chafu msenge kweli huyo.Hawa jamaa wa boda boda wanakera sana...
Leo kidogo mmoja anivae kwa mbele...
Nilikuwa nataka kutoka barabara kubwa na kuingia upande wa kulia, kuna carina ikawa inakuja upande wangu, ikasimama jamaa akaniruhusu nitoke...
Ile natoka, mwehu wa Toyo akaiovateki ile carina kwa upande wa kushoto akiwa amempakia mwehu mwenzake....wako mwendo mkali balaa....
Ile ameovateki kusho, akakutana na pua ya gari yangu...bahati nzuri nilifanikiwa kumuona, nikashika brake, naye akatanua kwa mwendo ule ule...
Watu waliokuwa pembeni wakashika vichwa wakisubiria kusikia mzinga...
Nisingeshika brwki, yule mbwa alikuwa anajaa kwenye rim yangu ya mbele ya kushoto...
Angekufa vibaya ng'ombe yule....
Kichwani hana helmet [emoji3549]
Miguuni ana sandals na kaptula...
Pumbaff sana
Siku moja moja sio mbaya kuua.Hawa jamaa wa boda boda wanakera sana...

Haha dada kumbe nawe unatukanaga matusi makubwa makubwa hivi [emoji87][emoji87]na kikaptula chini ya tako na chupi chafu msenge kweli huyo.
Hawa mbona kawaida yao, ukiruhusiwa na gari yeye anapita tu. Hata kwenye zebra unaruhusu watu wavuke yeye anapita katikati ya magari.Hawa jamaa wa boda boda wanakera sana...
Leo kidogo mmoja anivae kwa mbele...
Nilikuwa nataka kutoka barabara kubwa na kuingia upande wa kulia, kuna carina ikawa inakuja upande wangu, ikasimama jamaa akaniruhusu nitoke...
Ile natoka, mwehu wa Toyo akaiovateki ile carina kwa upande wa kushoto akiwa amempakia mwehu mwenzake....wako mwendo mkali balaa....
Ile ameovateki kusho, akakutana na pua ya gari yangu...bahati nzuri nilifanikiwa kumuona, nikashika brake, naye akatanua kwa mwendo ule ule...
Watu waliokuwa pembeni wakashika vichwa wakisubiria kusikia mzinga...
Nisingeshika brwki, yule mbwa alikuwa anajaa kwenye rim yangu ya mbele ya kushoto...
Angekufa vibaya ng'ombe yule....
Kichwani hana helmet [emoji3549]
Miguuni ana sandals na kaptula...
Pumbaff sana
Mkuu umeandika kwa uchungu sana.😁😁😁.....Kama nakuona jinsi macho yalivyokutoka na hasira juu🤣🤣🤣🤣hao mabwege huwa wanazingua sana ......pole ndo mambo ya road hayoHawa jamaa wa boda boda wanakera sana...
Leo kidogo mmoja anivae kwa mbele...
Nilikuwa nataka kutoka barabara kubwa na kuingia upande wa kulia, kuna carina ikawa inakuja upande wangu, ikasimama jamaa akaniruhusu nitoke...
Ile natoka, mwehu wa Toyo akaiovateki ile carina kwa upande wa kushoto akiwa amempakia mwehu mwenzake....wako mwendo mkali balaa....
Ile ameovateki kusho, akakutana na pua ya gari yangu...bahati nzuri nilifanikiwa kumuona, nikashika brake, naye akatanua kwa mwendo ule ule...
Watu waliokuwa pembeni wakashika vichwa wakisubiria kusikia mzinga...
Nisingeshika brwki, yule mbwa alikuwa anajaa kwenye rim yangu ya mbele ya kushoto...
Angekufa vibaya ng'ombe yule....
Kichwani hana helmet [emoji3549]
Miguuni ana sandals na kaptula...
Pumbaff sana
Halafu alipofika mbali, akanitukana kwa kidole cha kati..[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]na kikaptula chini ya tako na chupi chafu msenge kweli huyo.
Mashuhuda wa pembeni waliposhika vichwa, nilihisi tayari...ila nipoona kimya hamna kishindo, nikajua usalama upo..[emoji1][emoji1][emoji1]Siku moja moja sio mbaya kuua.
Unaenda motoni kwa dhambi ya ulevi, inatakiwa ukienda motoni una gunia la dhambi za uhakika.
Hawa huwa nikikuta kapata ajali, sina msaada nao...kwa sababu ajali nyingi wanazitafuta wenyewe kwa lazima...Hawa mbona kawaida yao, ukiruhusiwa na gari yeye anapita tu. Hata kwenye zebra unaruhusu watu wavuke yeye anapita katikati ya magari.
Mkuu nilijaa upepo ghafla....huko nilipokuwa naenda nilipofika nikawa najiongelesha saana kwa watu, wakati huo tumboni nahisi njaa wakati nilikuwa nimeshakula..[emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu umeandika kwa uchungu sana.[emoji16][emoji16][emoji16].....Kama nakuona jinsi macho yalivyokutoka na hasira juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hao mabwege huwa wanazingua sana ......pole ndo mambo ya road hayo
Pole sana.Mashuhuda wa pembeni waliposhika vichwa, nilihisi tayari...ila nipoona kimya hamna kishindo, nikajua usalama upo..[emoji1][emoji1][emoji1]
Haahahah jmaa wametanua😅 namuona na AKIO TOYODA nyuma kaunga tela
Askari wamewapa mkeka naona huyo mmoja kala tayari.. ila mwenye G wagon anaongea na simu.. itakuwa anaongea na mkuu kitengo.. vijana wanaleta udwanzim. ila toyoda hatoboi hapo 😄😄😄😄Haahahah jmaa wametanua😅 namuona na AKIO TOYODA nyuma kaunga tela
Kuua kwa ajari toka lini imekuwa dhambi 🙄🙄🙄🙄.. chombo haina machoSiku moja moja sio mbaya kuua.
Unaenda motoni kwa dhambi ya ulevi, inatakiwa ukienda motoni una gunia la dhambi za uhakika.
zamani nilikuwa nawazingua kishenzi wengine hadi walikuwa wanajitupam. unakuta mie nimeruhusiwa taa.. yeye unakuta anakupigia hesabumm namuwahi kwa kumtisha unakuta anajiachia huko 😄😄😄😄Mkuu umeandika kwa uchungu sana.😁😁😁.....Kama nakuona jinsi macho yalivyokutoka na hasira juu🤣🤣🤣🤣hao mabwege huwa wanazingua sana ......pole ndo mambo ya road hayo
Ha ha ha juzi nilimpelekea mmoja Hadi abiria akainua miguu!zamani nilikuwa nawazingua kishenzi wengine hadi walikuwa wanajitupam. unakuta mie nimeruhusiwa taa.. yeye unakuta anakupigia hesabumm namuwahi kwa kumtisha unakuta anajiachia huko 😄😄😄😄