Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Aliyeandika hivi kwa kweli afungwe. Watu Wana vichekesho asee
Screenshot_20220205-211401.jpg
 
Boda bwana ukiwaogopa inakuwaga kama ndo unawaita. Hawanaga cha kushoto wala kulia kote wanaovertake tena kwa mkwala kabisa sijui wanataka usimame wapite?

Hawa jamaa siku sio nyingi watapita juu wataona ubavuni hapatoshi wana haraka sana.

Honi bwana sijui shida huwa iko wapi Dar. Aisee hizi driving schools ni za kuchunguzwa na serikali [emoji1787][emoji1787] tena tume maalum kabisa iundwe

Usiwe mwepesi kuogopa utazoea tu. Kuna Malori ya mawe yale mafuso utazoea wewe keep calm hata iweje na uwe alert. Wengi mabarabarani ni wehu tu sasa lazima uwe makini times two.
Hawa jamaa wa boda boda wanakera sana...

Leo kidogo mmoja anivae kwa mbele...

Nilikuwa nataka kutoka barabara kubwa na kuingia upande wa kulia, kuna carina ikawa inakuja upande wangu, ikasimama jamaa akaniruhusu nitoke...
Ile natoka, mwehu wa Toyo akaiovateki ile carina kwa upande wa kushoto akiwa amempakia mwehu mwenzake....wako mwendo mkali balaa....

Ile ameovateki kusho, akakutana na pua ya gari yangu...bahati nzuri nilifanikiwa kumuona, nikashika brake, naye akatanua kwa mwendo ule ule...

Watu waliokuwa pembeni wakashika vichwa wakisubiria kusikia mzinga...
Nisingeshika breki, yule mbwa alikuwa anajaa kwenye rim yangu ya mbele ya kushoto...

Angekufa vibaya ng'ombe yule....
Kichwani hana helmet [emoji3549]
Miguuni ana sandals na kaptula...
Pumbaff sana
 
Hawa jamaa wa boda boda wanakera sana...

Leo kidogo mmoja anivae kwa mbele...

Nilikuwa nataka kutoka barabara kubwa na kuingia upande wa kulia, kuna carina ikawa inakuja upande wangu, ikasimama jamaa akaniruhusu nitoke...
Ile natoka, mwehu wa Toyo akaiovateki ile carina kwa upande wa kushoto akiwa amempakia mwehu mwenzake....wako mwendo mkali balaa....

Ile ameovateki kusho, akakutana na pua ya gari yangu...bahati nzuri nilifanikiwa kumuona, nikashika brake, naye akatanua kwa mwendo ule ule...

Watu waliokuwa pembeni wakashika vichwa wakisubiria kusikia mzinga...
Nisingeshika brwki, yule mbwa alikuwa anajaa kwenye rim yangu ya mbele ya kushoto...

Angekufa vibaya ng'ombe yule....
Kichwani hana helmet [emoji3549]
Miguuni ana sandals na kaptula...
Pumbaff sana
na kikaptula chini ya tako na chupi chafu msenge kweli huyo.
 
Siku moja moja sio mbaya kuua.

Unaenda motoni kwa dhambi ya ulevi, inatakiwa ukienda motoni una gunia la dhambi za uhakika.
 
Hawa jamaa wa boda boda wanakera sana...

Leo kidogo mmoja anivae kwa mbele...

Nilikuwa nataka kutoka barabara kubwa na kuingia upande wa kulia, kuna carina ikawa inakuja upande wangu, ikasimama jamaa akaniruhusu nitoke...
Ile natoka, mwehu wa Toyo akaiovateki ile carina kwa upande wa kushoto akiwa amempakia mwehu mwenzake....wako mwendo mkali balaa....

Ile ameovateki kusho, akakutana na pua ya gari yangu...bahati nzuri nilifanikiwa kumuona, nikashika brake, naye akatanua kwa mwendo ule ule...

Watu waliokuwa pembeni wakashika vichwa wakisubiria kusikia mzinga...
Nisingeshika brwki, yule mbwa alikuwa anajaa kwenye rim yangu ya mbele ya kushoto...

Angekufa vibaya ng'ombe yule....
Kichwani hana helmet [emoji3549]
Miguuni ana sandals na kaptula...
Pumbaff sana
Hawa mbona kawaida yao, ukiruhusiwa na gari yeye anapita tu. Hata kwenye zebra unaruhusu watu wavuke yeye anapita katikati ya magari.
 
Hawa jamaa wa boda boda wanakera sana...

Leo kidogo mmoja anivae kwa mbele...

Nilikuwa nataka kutoka barabara kubwa na kuingia upande wa kulia, kuna carina ikawa inakuja upande wangu, ikasimama jamaa akaniruhusu nitoke...
Ile natoka, mwehu wa Toyo akaiovateki ile carina kwa upande wa kushoto akiwa amempakia mwehu mwenzake....wako mwendo mkali balaa....

Ile ameovateki kusho, akakutana na pua ya gari yangu...bahati nzuri nilifanikiwa kumuona, nikashika brake, naye akatanua kwa mwendo ule ule...

Watu waliokuwa pembeni wakashika vichwa wakisubiria kusikia mzinga...
Nisingeshika brwki, yule mbwa alikuwa anajaa kwenye rim yangu ya mbele ya kushoto...

Angekufa vibaya ng'ombe yule....
Kichwani hana helmet [emoji3549]
Miguuni ana sandals na kaptula...
Pumbaff sana
Mkuu umeandika kwa uchungu sana.😁😁😁.....Kama nakuona jinsi macho yalivyokutoka na hasira juu🤣🤣🤣🤣hao mabwege huwa wanazingua sana ......pole ndo mambo ya road hayo
 
Mkuu umeandika kwa uchungu sana.[emoji16][emoji16][emoji16].....Kama nakuona jinsi macho yalivyokutoka na hasira juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hao mabwege huwa wanazingua sana ......pole ndo mambo ya road hayo
Mkuu nilijaa upepo ghafla....huko nilipokuwa naenda nilipofika nikawa najiongelesha saana kwa watu, wakati huo tumboni nahisi njaa wakati nilikuwa nimeshakula..[emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa ujumla bodaboda wanakera...... ukipata fursa isiyo na ushahidi, unamsukumia mtaroni..
 
Mkuu umeandika kwa uchungu sana.😁😁😁.....Kama nakuona jinsi macho yalivyokutoka na hasira juu🤣🤣🤣🤣hao mabwege huwa wanazingua sana ......pole ndo mambo ya road hayo
zamani nilikuwa nawazingua kishenzi wengine hadi walikuwa wanajitupam. unakuta mie nimeruhusiwa taa.. yeye unakuta anakupigia hesabumm namuwahi kwa kumtisha unakuta anajiachia huko 😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom