Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
huenda huyo askari ndio alikuwa malaika mwenyeweAyseeee,kwanza mimi hata kwenye kuvuka reli huwa siwazi hazard,nilishawashiana siku moja pale Bahi mpakani kuvukia MANYONI,pale relini basi naona raha kweli hata nikiwa naenda Mwanza pale Manyoni hivyohivyo siwashi hazard,naona raaaaaha sana kubishana na askari.
Juzi sijui malaika gani alinitembelea eti nikampa lift askari toka Nzega hadi Manyoni,halafu askari polisi.!!
hazard tunawashaga kama tukio ndani ya gari.. nje hapo kila mtu apambane na hali yakeHutakiwi kuwasha sema askari hawajui sheria za usalama barabarani,ukiwasha/matumizi ya hazard maana yake ni dharula na unamruhusu wa nyuma yako kuweza kukupita,sasa askari wanafikiri hazard inawashwa sehemu kama hizo na kwenye zebra.
Rwanda ukijichanganywa awashe hazard kwenye zebra unakuwa tayari umeshayakanyaga
Mfano wa hiyo emmergency ni ipi?Huu mwendo hapana kwakweli, sasa hapo ikitokea any emergency amekwisha huyo
Unachofundishwa darasani na uhalisia wa maisha haufanani.Na ameniharibu kwelikweli, imagine eti ukifika kwenye zebra usivuke ule mstari, usimame hata kama hamna mtu anayetaka kuvuka, uangalie kulia na kushoto ndio uvuke, sasa raia nyuma full kunipigia honi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lazima watakuwa wanaangalia wasiosimama kwenye zebra.Kuna tochi pale mbezi jogoo
Kuna tochi pale mbezi jogoo
wazushi sana, tunapigana vipi tocho town.. mida ya kazi watu tuna haraka zetu.. wana kera sanaImenikosa kosa..nmekuja kushtuka hii hapa tena wameifunika turubai[emoji23]..gari ya nyuma yangu nmeacha imepigwa mkono..asee ni hatari [emoji777][emoji777]
Hawakosagi kasoror wale..Lazima watakuwa wanaangalia wasiosimama kwenye zebra.
Uwezekano wa hayo kutokea ni chini ya 50%.Kitu kime fail katika gari ghafla, tairi kuchomoka, kitu au mtu kukatiza ghafla barabarani, kujisikia vibaya ghafla ukiwa unadrive
Juzi nimeshuhudia mmoja akila makofi mbele yangu kutoka kwa abiria wake.Hawa jamaa wa boda boda wanakera sana...
Leo kidogo mmoja anivae kwa mbele...
Nilikuwa nataka kutoka barabara kubwa na kuingia upande wa kulia, kuna carina ikawa inakuja upande wangu, ikasimama jamaa akaniruhusu nitoke...
Ile natoka, mwehu wa Toyo akaiovateki ile carina kwa upande wa kushoto akiwa amempakia mwehu mwenzake....wako mwendo mkali balaa....
Ile ameovateki kusho, akakutana na pua ya gari yangu...bahati nzuri nilifanikiwa kumuona, nikashika brake, naye akatanua kwa mwendo ule ule...
Watu waliokuwa pembeni wakashika vichwa wakisubiria kusikia mzinga...
Nisingeshika breki, yule mbwa alikuwa anajaa kwenye rim yangu ya mbele ya kushoto...
Angekufa vibaya ng'ombe yule....
Kichwani hana helmet [emoji3549]
Miguuni ana sandals na kaptula...
Pumbaff sana
Utadhani kuna viwanda vya magari wanavilinda.TRA pumbafu kabisa.
Manake mtu anaenunua gari kama Ferrari, Bentley, Aston Martin ategemee kodi mara 3 yake?
Kwamba gari inayouzwa $200,000 kodi yake iwe $600,000. Mzigo unaingia nyumbani $800,000 imekutoka?
Parefu hapo.
[emoji38][emoji38][emoji38]huyo abiria alifanya kazi nzuriJuzi nimeshuhudia mmoja akila makofi mbele yangu kutoka kwa abiria wake.
Alinichomekea kwa karibu sana ikabidi nifunge breki na niswerve kidogo nisimguse. Abiria wake alinotice. Nikaona paap, paap makofi yanatembea. Nikasema ewaaa n
Abiria wote wangekuwa hivyo, hakika bodaboda wangekuwa wastaarabuJuzi nimeshuhudia mmoja akila makofi mbele yangu kutoka kwa abiria wake.
Alinichomekea kwa karibu sana ikabidi nifunge breki na niswerve kidogo nisimguse. Abiria wake alinotice. Nikaona paap, paap makofi yanatembea. Nikasema ewaaa n
Kuweka Kodi kubwa hiyo ndo ingekuwa sababu yake yaani kulinda viwanda vya ndani,lkn kwao sababu ni kutukomoa na kutukamua sawia na matamanio yaoUtadhani kuna viwanda vya magari wanavilinda.
Hehe mkuu TRA itakuwa hawataki kushuka kwenye nafasi yao ya kwanza katika list ya taasisi zinazoongoza kwa kulipa waajiriwa wake vizuri! Wameshajua mitaani watu wanadanganyana kwamba TRA ndiyo taasisi ya serikali inayoongoza kwa pesa za mishahara na magumashi so maybe they need to maintain that streak!Kuweka Kodi kubwa hiyo ndo ingekuwa sababu yake yaani kulinda viwanda vya ndani,lkn kwao sababu ni kutukomoa na kutukamua sawia na matamanio yao
🤣🤣🤣Ahaaa ili mtaani tuendelee kuwaheshimu au sio......Hehe mkuu TRA itakuwa hawataki kushuka kwenye nafasi yao ya kwanza katika list ya taasisi zinazoongoza kwa kulipa waajiriwa wake vizuri! Wameshajua mitaani watu wanadanganyana kwamba TRA ndiyo taasisi ya serikali inayoongoza kwa pesa za mishahara na magumashi so maybe they need to maintain that streak!
Ndiyo maana yake sasa watawavimbiaje msipojua kuwa wao ndiyo madon wa hii nchi pesa zote za nchi ziko kwao [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ahaaa ili mtaani tuendelee kuwaheshimu au sio......