Hawa jamaa wa boda boda wanakera sana...
Leo kidogo mmoja anivae kwa mbele...
Nilikuwa nataka kutoka barabara kubwa na kuingia upande wa kulia, kuna carina ikawa inakuja upande wangu, ikasimama jamaa akaniruhusu nitoke...
Ile natoka, mwehu wa Toyo akaiovateki ile carina kwa upande wa kushoto akiwa amempakia mwehu mwenzake....wako mwendo mkali balaa....
Ile ameovateki kusho, akakutana na pua ya gari yangu...bahati nzuri nilifanikiwa kumuona, nikashika brake, naye akatanua kwa mwendo ule ule...
Watu waliokuwa pembeni wakashika vichwa wakisubiria kusikia mzinga...
Nisingeshika breki, yule mbwa alikuwa anajaa kwenye rim yangu ya mbele ya kushoto...
Angekufa vibaya ng'ombe yule....
Kichwani hana helmet [emoji3549]
Miguuni ana sandals na kaptula...
Pumbaff sana