Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Amen...
 
Aisee nimecheka kama mazuri! Ukiwa kichwa ngumu mfuko utaumia. Imagine upigwa fain 60,000/- mafuta ya 60,000 mengi sana
Wakati nakuja Arusha nilikuwa na mdogo angu.

Yeye anapenda amshaamsha.

Nikamwambia hizo 30K tutakazopigwa zikifika 5 tu ni full tank kabisa ya kututoa Dar mpaka Arusha.

Akawa mpole ila njiani hatukukuta trafic. Ndo tukajiachia haswa.

Nadhani wakati wa kurudi ndo ntawakuta wa kutosha.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nina C ila naikubali kuliko D.

Gari ina miaka 7 haijafikisha hata 80K km.

Maintainance ni top notch, service ni kwa wakati.

Hata wenye D wengi zimeshachoka ila yangu ni sawa na itoke Japan leo.

Plate number zinazuzua tu.

Nikitaka kuiuza napunguza 2M kwa ile mpya inayotoka Japan.

Kama mpya itauzwa 20M yangu nauza 18M.

Sitaki kelele.



Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Ukirudi kuanzia kesho watapungua.
 
Mkuu sisi tunaoangalia namba D ni wale wa magari 'mapya' yenye umri zaidi ya miaka 10. Kuna C na B nazijua nyingi watu walichukua brand new ni Bora kuliko hizi DV zetu!
Kuna jamaa yangu alitaka kununua RR sporty namba A akaniita nimsaidie kuicheki. History ya gari ilichukuliwa brand new CMC ina 80,000km nilimnong'oneza jamaa chukua faster. Hadi leo ngoma anadunda nayo alichukua 2013.
 
Huenda wamechoka kukamata.. majuzi sikukusimamishwa na trafic hata mmoja na nimerudi jana pia jioni hadi alfajiri sijasimamishwa hata na mmoja... na nilikuwa natembea lafu kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…