ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Low speed kwa long trip ni hatari [emoji1787][emoji1787]Aisee![emoji23][emoji23][emoji23]
Kutoka old maswa..
Nyakabindi
Igaganulwa (dutwa)
Mkula halafu Lamadi
Cheti
Ulipigiwa mkula simiyu
Ulivyovuka rubana bridge tayari
Pale mizani ulishaianza kanda maalum
Kwenye lango la kuingia serengeti
Na kiukweli kwenye highway speed hiyo ya 70 ni hatari kwa dereva mwenyewe. Kama huwezi kuendesha zaidi ya 100 ni bora kutafuta mtu akuendeshe au upande usafiri wa umma.Ukiendesha 70 unachoka unasinzia unavagaa kicheche unakufa.
Hali ya soko la dunia si shwari bado yanaendelea kupanda.. tusubiri mwezi ujao tutapata picha kamiliInakuwa 2,540/- Dar
Kesho inapanda hadi 2570Inakuwa 2,540/- Dar
Ndio maana sipendi kusafiri mchanaHeri ningemalizia hizi km200 jana nikafika Musoma. Kiherehere changu kusafiri asubuhi nimeliwa fine mbili back to back zimepishana nusu saa.
Shikamooni wakurya, mmenikaribisha vilivyo kanda maalum
View attachment 2135114
Jamaa katili mno!Nimeliwa somewhere vijiji kama vitano baada ya Old Maswa, jamaa hakuwa na karatasi akaniambia nitalipa mbele. Nilikuwa nachill na 65 sema ndio hivyo.
Huku nikiendelea kutafakari na kusali labda mashine imemgomea, pale Serengeti one stop kwa mbele ni Eneo la Mbuga aisee. Jamaa akanivuta akanitaarufu nimevuka spidi yao ya mbugani. Nikamuambia nimetoka kuandikiwa sahizi niangalizie. Kaniprintia ya mwenzie afu kaongezea na yake hapo, kanipa na pole [emoji1787][emoji1787]
Nasubiri yafike elfu tano mia tano.. ninunue V8 🤕🤕Kesho inapanda hadi 2570
Vituo vingine 80 hadi 90
Kurudi muda mwingi nimetembea 120-130kph very relaxing speed.
Uje kipande hiyoMhhh sawa mkuu, mi mwisho kabisa speed 70
Usalama barabarani una factors nyingi, sio speed tu. Kuna barabara zina minimum speed limit, ukiendesha chini ya hapo unakuwa unahatarisha usalama wako na wa wengineHahaha, hapana mkuu. Najiuliza kama niligonga gari mataa hapohapo taa ikavunjika, mlango ukaharibika ukawa haufunguki je mtu ukipata ajali kwenye high speed inakuwaje? Nawasihi punguzeni speed wapendwa
Kuna barabara na mikoa ya kusafiri mchana. Na siku pia hutofautianaNdio maana sipendi kusafiri mchana
KabisaUsalama barabarani una factors nyingi, sio speed tu. Kuna barabara zina minimum speed limit, ukiendesha chini ya hapo unakuwa unahatarisha usalama wako na wa wengine