Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Screenshot_20220301-215928.png
 
Nimeliwa somewhere vijiji kama vitano baada ya Old Maswa, jamaa hakuwa na karatasi akaniambia nitalipa mbele. Nilikuwa nachill na 65 sema ndio hivyo.

Huku nikiendelea kutafakari na kusali labda mashine imemgomea, pale Serengeti one stop kwa mbele ni Eneo la Mbuga aisee. Jamaa akanivuta akanitaarufu nimevuka spidi yao ya mbugani. Nikamuambia nimetoka kuandikiwa sahizi niangalizie. Kaniprintia ya mwenzie afu kaongezea na yake hapo, kanipa na pole [emoji1787][emoji1787]
Jamaa katili mno!
 
Hahaha, hapana mkuu. Najiuliza kama niligonga gari mataa hapohapo taa ikavunjika, mlango ukaharibika ukawa haufunguki je mtu ukipata ajali kwenye high speed inakuwaje? Nawasihi punguzeni speed wapendwa
Usalama barabarani una factors nyingi, sio speed tu. Kuna barabara zina minimum speed limit, ukiendesha chini ya hapo unakuwa unahatarisha usalama wako na wa wengine
 
Back
Top Bottom