Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Zile rough wanazozipiga huzioni mkuu? Unaangalia top speed?Mabus yana mwendo mzuri, kwa upande wa private car nikiwa naenda field nakodiwa gari na kampuni so namcontrol dereva speed ninayotaka.
Duh tutapunguza ila sio 70kph 😀😀😀Sio sana, mfano mwaka huu umesikia bus gani limepinduka na kuua watu? lakini daily private car zinaua watu kwasababu ya mwendokasi, ukipata ajali katika mwendo wa wastani hata madhara yake yanakua sio makubwa sana kama gari inayokimbia sana ipate ajali, lazima watu wafe vibay. Ushauri wangu mchungu ni kua nawaomba mpunguze speed humo barabarani, kama una haraka sana basi mjitahidi kuwahi au kutenga muda mzuri kwaajili ya safari.
Kwasababu hausikii, haimaainishi hazitokei. Bodaboda na wavuka kwa miguu wanabondwa na mabasi very frequently. Wewe ukiwa ndani ya basi unakuwa protected, ila usalama wa watumiaji wengine wa barabara unahatarishwa na mabasi.Sio sana, mfano mwaka huu umesikia bus gani limepinduka na kuua watu? lakini daily private car zinaua watu kwasababu ya mwendokasi, ukipata ajali katika mwendo wa wastani hata madhara yake yanakua sio makubwa sana kama gari inayokimbia sana ipate ajali, lazima watu wafe vibay. Ushauri wangu mchungu ni kua nawaomba mpunguze speed humo barabarani, kama una haraka sana basi mjitahidi kuwahi au kutenga muda mzuri kwaajili ya safari.
Au anaongelea mph [emoji1787][emoji1787]Utaizoea utaona gari haikimbii.
Itakuwa 2300 diesel.Saint Anne naona umepita....wese bei gani leo?
Leo asubuhi dk chache zilizopita ime hit 109.76 ambayo bei hii toka 2013 leo imebonya tena.. acha tuone..Itakuwa 2300 diesel.
2570 petrol.
Kwa wengine sijui ipoje.
haya nimeona hayali jana tumelitumia na leo linanusa tu.. SUV zina raha yake.. hakuna kunyata nyataWazee wa road trip mtanunua IST
Hii ni 3.0D hujakutana na lile Y62 5.7 V8 ni jini mafuta kweli!haya nimeona hayali jana tumelitumia na leo linanusa tu.. SUV zina raha yake.. hakuna kunyata nyataView attachment 2136127
Y62 ile inabwiaaa 😃😃😃Hii ni 3.0D hujakutana na lile Y62 5.7 V8 ni jini mafuta kweli!
Hilo. ndio jibu kuna viwanda vya mabeberu ambvyo vipo Russia kama Exxon imeanza mambo ya kikuda.. supply inaingiliwa na chawaWatasingizia mgogoro wa Urusi ndio umesababisha🙄🙄🙄🙄😛😛
Ile imekaa kibabe sana hata nje.. mwisho wa matatizo ni pesaa tuIla ni mwisho wa matatizo....unaipiga VX kama ki IST ukiwa na lile 😀😀😀😀
Trip ya dar musoma itapendeza sana au Dar bukoba 😃😃😃Ngoja nimtafute mwana mwezi huu mwishoni tupige trip ya kibabe....hamna cha 50kph zone wala kupigwa mkono ni kutembea tu