Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sio sana, mfano mwaka huu umesikia bus gani limepinduka na kuua watu? lakini daily private car zinaua watu kwasababu ya mwendokasi, ukipata ajali katika mwendo wa wastani hata madhara yake yanakua sio makubwa sana kama gari inayokimbia sana ipate ajali, lazima watu wafe vibay. Ushauri wangu mchungu ni kua nawaomba mpunguze speed humo barabarani, kama una haraka sana basi mjitahidi kuwahi au kutenga muda mzuri kwaajili ya safari.
Duh tutapunguza ila sio 70kph 😀😀😀
 
Kwasababu hausikii, haimaainishi hazitokei. Bodaboda na wavuka kwa miguu wanabondwa na mabasi very frequently. Wewe ukiwa ndani ya basi unakuwa protected, ila usalama wa watumiaji wengine wa barabara unahatarishwa na mabasi.
 
Back
Top Bottom