Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Askari wapo wa kutosha tu humu ndani....baadhi ya mbinu za kivita tusiziandike huku..[emoji38][emoji38][emoji38]
Kuna mshikaji anasema alijaribu kuweka CD akala vyeti vya kutosha..

Sasa sijui ukweli wa hili uko wapi..
 
3 years or 100,000 km warranty.

Whatever comes first.

Ford wanakupa choice ya warranty iwe ina cover upande upi. Either km au miaka.

Ukichukua km basi hiyo gari ingekuwa chini ya warranty bado.

Wengi hatujui hata kutunza magari. Gari namba D mabati ya pembeni yameshaanza kulegea.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Huenda wamechoka kukamata.. majuzi sikukusimamishwa na trafic hata mmoja na nimerudi jana pia jioni hadi alfajiri sijasimamishwa hata na mmoja... na nilikuwa natembea lafu kweli kweli
Mpaka unajiuliza mara mbili.

Jana nilienda Monduli. Barabara ilikuwa nyeupe mpaka unajiuliza kama inawezekana kutokuwa na polisi kabisa.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Highway hawakagui.

Labda hawa wa mjini kati.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana yako unaitumia kwenda sokoni tu. Na soko lenyewe liko mtaa wa pili.
Nafanyia kazi zangu nyumbani. Nina kaofisi kadogo.

Natoka weekends tu au kati ya week kukiwa na ulazima sana.

Kwahiyo week nzima naweza tembea kama 50km. Na gari zipo mbili, moja ya safari nyingine town trip.

Na hiyo ya safari inaweza tembea km 1000-1500km kwa miezi minne hivi.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Huwa najaribu kuvunja record zangu mwenyewe. Kuna moja nataka nilijaribu kama nitaivunja soon.

2014 niliwahi kupiga KM 1000+ kutoka Arusha mpaka Kampala bila kusimama na bila kuwa na co driver.

Nategemea kuvunja hiyo record mwezi huu. Katikati
Nafikiria kupiga safari ya Mtwara - Rusumo. Au Mbamba Bay - Kigoma.

24hrs bila kusimama labda kuweka mafuta tu.

Nataka kuona uwezo wangu.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Askari wapo wa kutosha tu humu ndani....baadhi ya mbinu za kivita tusiziandike huku..[emoji38][emoji38][emoji38]
Kuna mshikaji anasema alijaribu kuweka CD akala vyeti vya kutosha..

Sasa sijui ukweli wa hili uko wapi..
Hahahahah kwahiyo mkuu nimeuza raman.

Au jamaa yako alipanga vibaya? Basi nutakua sileti tena humu.

Matrafiki wa humu tunawamaindoo sana. Nyie mna roho nzurimoo[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…