Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

mkeka umechanika 🤕🤕
IMG_20220310_165018_edit_15317438408596.jpg
 
Kwanini unasema hivyo?
1. Wingi wa kilometa yani umbali almost 950+km.
2. Milima.
3. Kona nyingi kati ya songea na njombe.
4. Wingi wa magari makubwa barabarani kati ya Dar to Makambako na pia milori mikubwa ya Njombe to Songea.
5. Wingi wa traffic kipande cha Iringa Makambako.
6. Ongeza mwenyewe....
 
Ukitoa uchovu, tabia zako za kila siku kwenye udereva zinakuathiri popote pale. Mtu anaeendesha hovyo hovyo mjini hata ukimkuta highway ana tabia hizo hizo ndio maana kuna ajali nyingi za kizembe.
 
Back
Top Bottom