Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Duh pole sn kaka ndio changamoto za road trips[emoji848]mkeka umechanika [emoji856][emoji856]View attachment 2145852
😀😀😀😀 Huwa stim zinakataDuh pole sn kaka ndio changamoto za road trips[emoji848]
Kwanini unasema hivyo?Driving Dar to Songea, you'll be tested for your skills and endurance.
1. Wingi wa kilometa yani umbali almost 950+km.Kwanini unasema hivyo?
Ukitoa uchovu, tabia zako za kila siku kwenye udereva zinakuathiri popote pale. Mtu anaeendesha hovyo hovyo mjini hata ukimkuta highway ana tabia hizo hizo ndio maana kuna ajali nyingi za kizembe.1. Wingi wa kilometa yani umbali almost 950+km.
2. Milima.
3. Kona nyingi kati ya songea na njombe.
4. Wingi wa magari makubwa barabarani kati ya Dar to Makambako na pia milori mikubwa ya Njombe to Songea.
5. Wingi wa traffic kipande cha Iringa Makambako.
6. Ongeza mwenyewe....
Mzee wa kutembelea Rim[emoji16]mkeka umechanika [emoji856][emoji856]View attachment 2145852
Mzee wa kutembelea Rim[emoji16]
Upo mitaa gani sasahivi??
Bwana na azidi kukulinda.
Asante[emoji23]
Nimeiona tu laki mojaLake Oil 2,480 petrol
View attachment 2146521
😀😀😀 ndio natoka nipo toka asubuhi hapaAsante[emoji23]
Nikukute pa siku ile.
[emoji1787]Heshima kwa watu wa Makambako na Njombe.
Barudi kali hivi halafu kuna mtu anapeleka miguu yake bafuni kuoga.
Kumbe uliamkia hapo[emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3] ndio natoka nipo toka asubuhi hapa
😀😀😀 eeh si nyumbaniKumbe uliamkia hapo[emoji1787]
Haya sawa.
KidogoDuh Saint Anne umepita....🙂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] eeh si nyumbani