Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Kubali unyonge tu😅 utatoboa ila kwa zile sprint za mlimani mpaka riverside😅 hatufiki siku 4 lazma taa iwake😂Sijui kama nitatoboa hata hio wiki 😎
View attachment 2146928
Hawa jamaa kumbe nao wana hizi za 5w pia nilizoea kuona zile za 20W na SAE nikajua hawanaga hizi za kina Castrol na Liqui MollyIt's time...[emoji373][emoji373][emoji373][emoji373][emoji373][emoji373][emoji373][emoji847][emoji847]View attachment 2147326
Siku nyingi sana. Hizo ndio nilikuwa natumia ages ago kabla ya hawa wengine kuanza kuleta ( Total Quartz 9000 5w40)Hawa jamaa kumbe nao wana hizi za 5w pia nilizoea kuona zile za 20W na SAE nikajua hawanaga hizi za kina Castrol na Liqui Molly
Ha ha ha...Hongera sana mkuu 😅 sie bado tuko na 113MPH
hahaha jamaa ana mijerumani
Naamini umeiona Pm yangu mkuu. 😊😊Siku nyingi sana. Hizo ndio nilikuwa natumia ages ago kabla ya hawa wengine kuanza kuleta ( Total Quartz 9000 5w40)
Duh kumbe zipo hata bei itakuwa rafiki kidogoSiku nyingi sana. Hizo ndio nilikuwa natumia ages ago kabla ya hawa wengine kuanza kuleta ( Total Quartz 9000 5w40)
😅 punguza speed
Sasa hivi Lake oil ndio mkombozi tu, wese haliishi.. majuzi nilichanganya nikaweka Total.. roho iliuma yaliisha kama mtu anakunywaa.. nikarudi lake oil muokoziKubali unyonge tu😅 utatoboa ila kwa zile sprint za mlimani mpaka riverside😅 hatufiki siku 4 lazma taa iwake😂
Hahahahahah guess i told you before Lake Oil ndio mpango mzima kama unataka kuinjoy misele! Total karoho lazma kaume mzee mafuta hayakai kabisa kama tank limetoboka😅Sasa hivi Lake oil ndio mkombozi tu, wese haliishi.. majuzi nilichanganya nikaweka Total.. roho iliuma yaliisha kama mtu anakunywaa.. nikarudi lake oil muokozi
Wanyonge tutaishi nazo tu! Kuna mahali niliuliza juzi 5w 30 ni 60K...Bei Yao kitonga sana
Mafuta si yale yale mkuu, ila nahisi total kuna kitu wanawaka ili mrudi rudi sheli kwao frequently😅Kuwa makini gari za mzungu hazina uvimilivu.
Hivi Total bei imesimamia ngapi sahizi?Kuwa makini gari za mzungu hazina uvimilivu.
Noma kweli yani!2,540/- Dar