Sasa mbona 40 ndio nyembamba zaidi! Unatakiwa urudie kwenye 20 sasahivi. Jiandae na 20w50Wanazo mkuu huwa ndiyo natumia...
Nilikuwa natumia 5w 30, sasa nimehamia 5w40...umri wa gari umesogea...ina mileage ya 160k plus..[emoji4][emoji4]
Si unitaje tu kwani kuna shida gani 😎😎😎Naifahamu ya mtu mkubwa mmoja anakaa Kinondoni. Kwa privacy yake siwezi kutaja jina lake. Watu wana fedha ndugu yangu.
Hivi hili la kutoka 5w30 hadi 5w40 kutokana na high mileage ni technical ama myth! Maana sioni kwenye car manual ikisema hivyo. Manual inasema gari linapaswa kutumia 5w30; haisemi ibadili kwenda 5w40 ikifika mileage fulani.Wanazo mkuu huwa ndiyo natumia...
Nilikuwa natumia 5w 30, sasa nimehamia 5w40...umri wa gari umesogea...ina mileage ya 160k plus..[emoji4][emoji4]
Huenda tunaelewa tofauti hii concept ya viscosity.Wewe 20,40,50,60 ukubwa wa namba ni uzito wa oil yaani 20 ndio nyepesi zaidi.
Car manual pia zinasema ATF ni lifetime. Sasa fuatisha hio manual ukione cha motoHivi hili la kutoka 5w30 hadi 5w40 kutokana na high mileage ni technical ama myth! Maana sioni kwenye car manual ikisema hivyo. Manual inasema gari linapaswa kutumia 5w30; haisemi ibadili kwenda 5w40 ikifika mileage fulani.
Pengine unaweza kunisaidia kiundani juu ya hili?
Nimekutana na demu ana X6 M competition mitaa ya bahari beach kadogo size yangu kabisaa dah! chuma bado piruuuNaifahamu ya mtu mkubwa mmoja anakaa Kinondoni. Kwa privacy yake siwezi kutaja jina lake. Watu wana fedha ndugu yangu.
Sawa mkuu but unajua kwanini hawatumii kwenye gari za Europe?Ni hivi huyu kahama kutoka 5w30 kaenda 5w40 5w40 ni nzito kuliko 5w30.
20w50 ni nzito zaidi na haitumiki Kwa gari za Europe nyingi kama sio zote
Iache hii topic.Sawa mkuu but unajua kwanini hawatumii kwenye gari za Europe?
Namba ya kwanza before W ina represent degrees Celcius ambazo oil inaweza ika flow na namba ya mwisho ni thickness ya oil katika operating temperatures.
Tukiangalia kwa nchi za ulaya wengi wanapata degrees below 10’C katika vipindi vya baridi. Ila kwa Tanzania huwa hatufikagi huko throughout the year. Average ni kati ya 20-30’C.
Kwa oils za gari za ulaya ndio maana wanashauri muweke 5W means oil itembee kwenye engine kuanzia kiwango cha nyuzijoto 5’C during coldstart. Ile namba ya mwisho kuanzia 15,20,30,40 mpaka 100 ndio viscosity rating kwa maana wembamba wa oil at operating temperature yani ikipata joto maana oil ikipoa huwa inakua thickened.
Kwahivyo uko sahihi kwa oil ya w40 itakuwa nzito but w50 ni nzito zaidi which i recommend kwa gari yake hasa kama yupo bongo.
Kwa gari zetu hapa bongo nafikiri kutumia 20W50 pia sio mbaya kwa sababu hali ya hewa ya joto letu mjini huwa ni 20-30’C on average so hamna ambaye gari yake itagoma kupandisha oil ila kwa mtu aliepo Arusha, Iringa au Mbeya na maeneo ya jirani huko basi 5W-30 huenda ikawa chaguo zuri zaidi maana wale wanapataga below 20’C during cold times of the year.
Uko sahihi. Mimi mwaka juzi nilijichanganya nikanunua 20W50 Total. Baada ya miezi miwili hakuna rangi niliacha kuona gari ikawa inashida cold start, yaani nilikua napiga start afu nakanyaga accelerator kama dk 5 nzima hivi temperature gauge ikishapanda basi gari haizimi bila hivyo ilikua inazima ndani ya dk 2 tu baada ya kuiwasha hasa asubuh au ikiwa imepoa. To cut the story short, mpaka kuja kusanuka kua engine oil nilioweka ni nzito hakuna garage Arusha mjini sijaenda mpaka baadhi ya mafundi walinikariri kabisa 😂Sawa mkuu but unajua kwanini hawatumii kwenye gari za Europe?
Namba ya kwanza before W ina represent degrees Celcius ambazo oil inaweza ika flow na namba ya mwisho ni thickness ya oil katika operating temperatures.
Tukiangalia kwa nchi za ulaya wengi wanapata degrees below 10’C katika vipindi vya baridi. Ila kwa Tanzania huwa hatufikagi huko throughout the year. Average ni kati ya 20-30’C.
Kwa oils za gari za ulaya ndio maana wanashauri muweke 5W means oil itembee kwenye engine kuanzia kiwango cha nyuzijoto 5’C during coldstart. Ile namba ya mwisho kuanzia 15,20,30,40 mpaka 100 ndio viscosity rating kwa maana wembamba wa oil at operating temperature yani ikipata joto maana oil ikipoa huwa inakua thickened.
Kwahivyo uko sahihi kwa oil ya w40 itakuwa nzito but w50 ni nzito zaidi which i recommend kwa gari yake hasa kama yupo bongo.
Kwa gari zetu hapa bongo nafikiri kutumia 20W50 pia sio mbaya kwa sababu hali ya hewa ya joto letu mjini huwa ni 20-30’C on average so hamna ambaye gari yake itagoma kupandisha oil ila kwa mtu aliepo Arusha, Iringa au Mbeya na maeneo ya jirani huko basi 5W-30 huenda ikawa chaguo zuri zaidi maana wale wanapataga below 20’C during cold times of the year.
Hahahahha ulihisi Engine mbovu 😂😂😂 au ishaharibika kabisa. Pole sana mkuu haya mambo ukiyaelewa inasaidia sanaUko sahihi. Mimi mwaka juzi nilijichanganya nikanunua 20W50 Total. Baada ya miezi miwili hakuna rangi niliacha kuona gari ikawa inashida cold start, yaani nilikua napiga start afu nakanyaga accelerator kama dk 5 nzima hivi temperature gauge ikishapanda basi gari haizimi bila hivyo ilikua inazima ndani ya dk 2 tu baada ya kuiwasha hasa asubuh au ikiwa imepoa. To cut the story short, mpaka kuja kusanuka kua engine oil nilioweka ni nzito hakuna garage Arusha mjini sijaenda mpaka baadhi ya mafundi walinikariri kabisa 😂
Ni lifetime kama iliotoka na gari kiwandani na gearbox haijaguswa ila ukishaiondoa ukaweka za Ilala zile jua kabisa its not lifetime anymore😅Car manual pia zinasema ATF ni lifetime. Sasa fuatisha hio manual ukione cha moto
Wabongo wana mawe mazee, acha kabisaaa!Wabongo Wana mawe sio kitoto Ila huwa Wana keep it Key sana
Hao jamaa wanafata competition mfano sehemu ambayo wako pekeyao bei inakuwa chini ila sehemu ambayo kuna competitors wanaweka bei sawa!Hii ni kama unaenda darajani? Hawa ndo wana bei ya chini always, lakini ile kama unaenda kibada pale kwa mkorea bei tofauti ipo juu, ndipo ambapo siwaelewi hawa jamaa
Maelezo mazuri.. Ila hapo W hiyo ni Winter..Sawa mkuu but unajua kwanini hawatumii kwenye gari za Europe?
Namba ya kwanza before W ina represent degrees Celcius ambazo oil inaweza ika flow na namba ya mwisho ni thickness ya oil katika operating temperatures.
Tukiangalia kwa nchi za ulaya wengi wanapata degrees below 10’C katika vipindi vya baridi. Ila kwa Tanzania huwa hatufikagi huko throughout the year. Average ni kati ya 20-30’C.
Kwa oils za gari za ulaya ndio maana wanashauri muweke 5W means oil itembee kwenye engine kuanzia kiwango cha nyuzijoto 5’C during coldstart. Ile namba ya mwisho kuanzia 15,20,30,40 mpaka 100 ndio viscosity rating kwa maana wembamba wa oil at operating temperature yani ikipata joto maana oil ikipoa huwa inakua thickened.
Kwahivyo uko sahihi kwa oil ya w40 itakuwa nzito but w50 ni nzito zaidi which i recommend kwa gari yake hasa kama yupo bongo.
Kwa gari zetu hapa bongo nafikiri kutumia 20W50 pia sio mbaya kwa sababu hali ya hewa ya joto letu mjini huwa ni 20-30’C on average so hamna ambaye gari yake itagoma kupandisha oil ila kwa mtu aliepo Arusha, Iringa au Mbeya na maeneo ya jirani huko basi 5W-30 huenda ikawa chaguo zuri zaidi maana wale wanapataga below 20’C during cold times of the year.
Mfano sheli zao za Morogoro Road bei iko juu kuna moja iko Urafiki hapa.
Hahahah ni nomaHivi ilishapitishwa kwenye Kiswahili kuwa Vituo vya Mafuta viitwe Sheli?
Hii Shell niliona Nairobi bado wapo.
I mean, nilitaka kuelewa sababu. Kwanini manual ya gari idanganye? Lilikuwa swali la kutaka kujifunzaCar manual pia zinasema ATF ni lifetime. Sasa fuatisha hio manual ukione cha moto