Ahhh ok..Kuna pedals..!!?kirungu..!!?Na hapo mnakuwa kwenye cockpit ya ndege kabisa au ni simulator..!!?Kigarigari tunasema Both mkuu
Nyingine tena Morogoro usiku wa kuamkia leo.Sema hii awamu ajali zimeanza, mabus yanakimbia, awamu ya tano ajali za mabus zilikua chache sana
Hahaha gears za ndege haziko kama kirunguAhhh ok..Kuna pedals..!!?kirungu..!!?Na hapo mnakuwa kwenye cockpit ya ndege kabisa au ni simulator..!!?
Duuuh High speed haijawahi kuwa chanzo cha ajali..!!!?Nyingine tena Morogoro usiku wa kuamkia leo.
Uso kwa uso na lori. Hata ukiwa 40kmph lazima kiwake.
22 dead.
Mkuu, tatizo halijawahi kuwa high speed. Ajali ina factora nyingi sana, kubwa ni umakini - situational awareness - kwamba hapa kuna hatari hizi, nitembee mwendo huu, nifuatilie mienendo ya yule kwa ukaribu zaidi, akileta hatari niiepuke kwa hivi.
Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori
Ajali mbaya maeneo ya Mzumbe maiti ni nyingi. Walioko Mzumbe tujuzeni basi la Mbeya. UPDATE: 1). Basi la kampuni ya Ahmed Coach linalofanya safari Kati ya Tanga kuelekea Mbeya, limepata ajali maeneo ya Sangasanga Mkoani Morogoro muda si Mrefu, chanzo na Habari zingine tutatoa baada ya...www.jamiiforums.com
Soma nilichoandika na uelewe. Usinitoe out of context.Duuuh High speed haijawahi kuwa chanzo cha ajali..!!!?
High speed inapunguza tire traction.. Maneuverability..stopping distance inaongezeka.. Vision inapungua..! Mechanical breakdown kwenye speed ni ajali teyari..
Na bado impact itakuwa kubwa kuleta damage..!
Speed ndio kila kitu kwenye ajali..
Speed limits zinawekwa sababu hiyo..!
Panafananaje huko?#Mbamba BayView attachment 2156686
Nilitamani kuwa rubani, reality sasa [emoji1787]Hahaha gears za ndege haziko kama kirungu
Pedals zipo ila zenyewe zina kazi tofauti siyo kama kwenye gari
Ni real cockpit hiyo ni Boeing ya Air Tanzania
Hata sasa ukitaka unaweza kuwa tu mkuu [emoji1][emoji1]Nilitamani kuwa rubani, reality sasa [emoji1787]
Pesaaa[emoji1787][emoji1787]Hata sasa ukitaka unaweza kuwa tu mkuu [emoji1][emoji1]
Haha tafuta scholarship ukasome nje hasa baadhi ya nchi za far east kuna vyuo kidogo ada yake siyo ndefu [emoji2][emoji2]Pesaaa[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]
Picha haifunguki dah
HapiPicha haifunguki dah
ina kela sana hii. na huwa sipendagi kutumia spare Tyre
Pls mkuu tuandae hii pamoja, nimesoma jana mahali, familia moja kutoka Argentina 🇦🇷 ndio inarejea nyumbani baada ya kufanya road trip kwa 22yrs!na wametumia gari model ya 1928!Napenda sana road trip, dream yangu kwenda ulaya kwa stail hii