Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sema hii awamu ajali zimeanza, mabus yanakimbia, awamu ya tano ajali za mabus zilikua chache sana
Nyingine tena Morogoro usiku wa kuamkia leo.

Uso kwa uso na lori. Hata ukiwa 40kmph lazima kiwake.

22 dead.

Mkuu, tatizo halijawahi kuwa high speed. Ajali ina factora nyingi sana, kubwa ni umakini - situational awareness - kwamba hapa kuna hatari hizi, nitembee mwendo huu, nifuatilie mienendo ya yule kwa ukaribu zaidi, akileta hatari niiepuke kwa hivi.

Duuuh High speed haijawahi kuwa chanzo cha ajali..!!!?
High speed inapunguza tire traction.. Maneuverability..stopping distance inaongezeka.. Vision inapungua..! Mechanical breakdown kwenye speed ni ajali teyari..
Na bado impact itakuwa kubwa kuleta damage..!

Speed ndio kila kitu kwenye ajali..
Speed limits zinawekwa sababu hiyo..!
 
#Tanzanite
#Oceanview
20220319_093025.jpg
20220319_093045.jpg
 
Duuuh High speed haijawahi kuwa chanzo cha ajali..!!!?
High speed inapunguza tire traction.. Maneuverability..stopping distance inaongezeka.. Vision inapungua..! Mechanical breakdown kwenye speed ni ajali teyari..
Na bado impact itakuwa kubwa kuleta damage..!

Speed ndio kila kitu kwenye ajali..
Speed limits zinawekwa sababu hiyo..!
Soma nilichoandika na uelewe. Usinitoe out of context.

Umequote ukareply maneno ambayo sijatamka
 
Back
Top Bottom