Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Pole sana, masaa machache kuanzia sasa nitapita dumila hapo.. 1100km parefu, hapo dumila center nyingi jaribu kuweka Oko kama tyre imepiga pancha ya kawaida.. ila kama mpacha basi tena [emoji2][emoji1783]
Ya kubadili hii, acha nifike town. Tairi adimu sana hizi mkoa mzima wa Mara ilikuwepo pc 1 tu [emoji1787] nikafunga. Iliyobaki nikasema inisogezw ndio imekata roho.
 
[emoji1787][emoji1787]

Bovu bovu lakini

Sauli akichomoa

Kyela anachomeka

Linatembea balaa
Itabidi nichangamkie hilo hilo kyela express na ninajitahidi kupata more information kuhusu hii bus, ikiwa roughly inaingia kyela saa ngapi, kipindi fulani kulikuwa kuna bus ikiitwa Twiga international, hii ilikua inaondoka Dar(mnazi mmoja)18H00,ipo border na inavuka, asubuhi ndani ya Lilongwe, but now itakua kuweka kambi kyela
 
Musoma saa 2 usiku
Trip ya usiku kucha bila kupumzika
Dar es Salaam saa 5 asubuhi
1330+ kilometre non stop
Masaa 15+ barabarani mwenyewe ndani ya gari

Nimewejiwekea rekodi ambayo sidhani kama nitakuja kuivunja. Mungu ni mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…