Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Pole sana, masaa machache kuanzia sasa nitapita dumila hapo.. 1100km parefu, hapo dumila center nyingi jaribu kuweka Oko kama tyre imepiga pancha ya kawaida.. ila kama mpacha basi tena [emoji2][emoji1783]
Ya kubadili hii, acha nifike town. Tairi adimu sana hizi mkoa mzima wa Mara ilikuwepo pc 1 tu [emoji1787] nikafunga. Iliyobaki nikasema inisogezw ndio imekata roho.
 
Panafananaje huko?

Mimi ndio nataka nitoke Tarime, nirudi Dar es Salaam
Papo fresh. Barabara ni nzuri ajabu.

Ina kona kona kuanzia mbinga mpaka mwisho mbamba bay.

Unapanda vilima na kuvishuka kama vyote.
IMG_20220320_074540.jpg
 
[emoji1787][emoji1787]

Bovu bovu lakini

Sauli akichomoa

Kyela anachomeka

Linatembea balaa
Itabidi nichangamkie hilo hilo kyela express na ninajitahidi kupata more information kuhusu hii bus, ikiwa roughly inaingia kyela saa ngapi, kipindi fulani kulikuwa kuna bus ikiitwa Twiga international, hii ilikua inaondoka Dar(mnazi mmoja)18H00,ipo border na inavuka, asubuhi ndani ya Lilongwe, but now itakua kuweka kambi kyela
 
Back
Top Bottom