Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Nimetoka juzi tu hapo....[emoji1787][emoji1787]
Bovu bovu lakini
Sauli akichomoa
Kyela anachomeka
Linatembea balaa
Gari za kyela kutoka uyole pale nane nane zinaishia mida ya saa 1-2....Si upande hiyo Sauli mpaka Mbeya halafu uchukue gari za Kyela?
Pole mkuu na hongera pia...Musoma saa 2 usiku
Trip ya usiku kucha bila kupumzika
Dar es Salaam saa 5 asubuhi
1330+ kilometre non stop
Masaa 15+ barabarani mwenyewe ndani ya gari
Nimewejiwekea rekodi ambayo sidhani kama nitakuja kuivunja. Mungu ni mwemaView attachment 2159173
Shukraani mno mkuu inaonekana nitakwenda na Lori lililochangamka,kyela express, but arriving time loo 22H00,tumekosea wapi kama nchi?Twiga international ilikua inavuka border, tunaenda mbele au tunarudi nyuma?Nimetoka juzi tu hapo....
Kwenda nilienda na New force kufika ilikua saa 4 usiku.
Kurudi nilirudi na kyela express lori lililochangamka.
Speed ya kawaida tu.
Ila kule option ni mbili tu either kyela expreaz au new force.
Majinja lipo juu ya mawe.
Rungwe naye haeleweki
Mpaka high season ndio kuna option ya magari.
Yote kwa sasa ni mikangafu.....
Ahsante mkuu nimefanya decision nitasafiri na kyela express, nimejiandaa kisaikolojia kuingia kyela saa 23H00, asubuhi niamkie border,.Gari za kyela kutoka uyole pale nane nane zinaishia mida ya saa 1-2....
Probably akitaka kuunga inabidi alale uyole maana kuna hati hati ya kukosa usafiri.
Umetumia gari gani?Musoma saa 2 usiku
Trip ya usiku kucha bila kupumzika
Dar es Salaam saa 5 asubuhi
1330+ kilometre non stop
Masaa 15+ barabarani mwenyewe ndani ya gari
Nimewejiwekea rekodi ambayo sidhani kama nitakuja kuivunja. Mungu ni mwemaView attachment 2159173
Alikuwa anatumia Nissan fuga...itakuwa ndiyo hiyo hiyo[emoji119][emoji119]..Umetumia gari gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lorry khaaahNimetoka juzi tu hapo....
Kwenda nilienda na New force kufika ilikua saa 4 usiku.
Kurudi nilirudi na kyela express lori lililochangamka.
Speed ya kawaida tu.
Ila kule option ni mbili tu either kyela expreaz au new force.
Majinja lipo juu ya mawe.
Rungwe naye haeleweki
Mpaka high season ndio kuna option ya magari.
Yote kwa sasa ni mikangafu.....
Pole sana mkuu......mara ya pili hiyo inakutokea,au huwa unapangaga kuwaprove wrong wauzaji wa matairi wa kibongo🤣🤣🤣mkeka umechanika 🤕🤕View attachment 2145852
na hiyo ni dunlop sasa 😊😊😊 ila imewambaPole sana mkuu......mara ya pili hiyo inakutokea,au huwa unapangaga kuwaprove wrong wauzaji wa matairi wa kibongo🤣🤣🤣
Hapo nimeona na kutambua raba ya Vans na makobazi pekee 🤣🤣🤣
Hii vita, kuna uwezekano mkubwa sana wa kuingiza dunia kwenye gharama za maisha kuwa juu. Mr President Putin hataki Euro wa Dollar kwenye biashara ya gas and oil. Wazungu nao leo wanakutana wapige pin zingine.. Uhalisia Gar na Oil ya Russia haina mbadala wa ghafla kwa nchi za ulaya lazima waumie.. na wakiumia hao dunia nzima tutaipata tu..Ni kweli,nilikuwa najaribu kwenda na ule uzi wa mgogoro wa Russian ila umenishinda 🤣🤣 maana ukijikuna tuu na ukirudi watu wameongeza pages mpya za kuzidi 😀😀
Nimerudi jukwaa pendwa hivyo tutakuwa tunasomana sana komrade
Hapo kila kitufe kinabonyezwa au vingine ni geresha tuu au kitabonyezwa baada ya miaka??!!!Early morning session
"Hello everyone, this is your captain speaking, welcome aboard...."View attachment 2154975View attachment 2154976
Ni lini umepiga hii picha??,......maana leo asubuhi waliifunga na kutusababishia mateso tuliyokuwa tunayapata
Kuna mtelemko mmoja wa hatari sana pale mlima Ambrose,kipindi hicho ilikuwa hakuna kupisha kiholela, kulikuwa na sehemu maalum tuu ambazo mlikuwa mnapishanaPapo fresh. Barabara ni nzuri ajabu.
Ina kona kona kuanzia mbinga mpaka mwisho mbamba bay.
Unapanda vilima na kuvishuka kama vyote.View attachment 2157457
Naona nawe umefanya kama kaka yako aliekuwa anajiita hollyman kwa kubadili jina,,,,😀🤣🤣Haha tafuta scholarship ukasome nje hasa baadhi ya nchi za far east kuna vyuo kidogo ada yake siyo ndefu [emoji2][emoji2]