Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji1787][emoji1787]

Bovu bovu lakini

Sauli akichomoa

Kyela anachomeka

Linatembea balaa
Nimetoka juzi tu hapo....

Kwenda nilienda na New force kufika ilikua saa 4 usiku.

Kurudi nilirudi na kyela express lori lililochangamka.

Speed ya kawaida tu.

Ila kule option ni mbili tu either kyela expreaz au new force.

Majinja lipo juu ya mawe.
Rungwe naye haeleweki

Mpaka high season ndio kuna option ya magari.

Yote kwa sasa ni mikangafu.....
 
Shukraani mno mkuu inaonekana nitakwenda na Lori lililochangamka,kyela express, but arriving time loo 22H00,tumekosea wapi kama nchi?Twiga international ilikua inavuka border, tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
 
Nimetoka juzi tu hapo....

Kwenda nilienda na New force kufika ilikua saa 4 usiku.

Kurudi nilirudi na kyela express lori lililochangamka.

Speed ya kawaida tu.

Ila kule option ni mbili tu either kyela expreaz au new force.

Majinja lipo juu ya mawe.
Rungwe naye haeleweki

Mpaka high season ndio kuna option ya magari.

Yote kwa sasa ni mikangafu.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lorry khaaah
 
Polisi ni wabaya ila kuna wakat tunawapa majaribu.[emoji28]
FB_IMG_16480134695859118.jpg
 
Ni kweli,nilikuwa najaribu kwenda na ule uzi wa mgogoro wa Russian ila umenishinda 🤣🤣 maana ukijikuna tuu na ukirudi watu wameongeza pages mpya za kuzidi 😀😀
Nimerudi jukwaa pendwa hivyo tutakuwa tunasomana sana komrade
Hii vita, kuna uwezekano mkubwa sana wa kuingiza dunia kwenye gharama za maisha kuwa juu. Mr President Putin hataki Euro wa Dollar kwenye biashara ya gas and oil. Wazungu nao leo wanakutana wapige pin zingine.. Uhalisia Gar na Oil ya Russia haina mbadala wa ghafla kwa nchi za ulaya lazima waumie.. na wakiumia hao dunia nzima tutaipata tu..
 
Back
Top Bottom