Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wadau wa Road Trip Karibuni Mkwaja karibu na gate number 1 Saadani National Park. Ndipo Shughuli zetu za kuunda Boti zinafanyika. Manaopita kutembelea Kijongo Beach,Barry Beach,Tent with View na Saadani Hotel karibuni.

Njia ya nzuri hata Kwa Watu wa gari za chini (Sedan) ni ya Mkata.
 
Kuna fahari ya macho kwanza 😀😀😀
Huku wakienda zenyewe sehemu za Beach za kitalii ujue wapo njema mfukoni na Hizo Beach zipo ambazo Kuna Bangalow Mtu anajipikia au anakula hotel Bei zimetabasamu kiasi.

Kuna wanaokuja na gari binafsi au za tours,huku kuziona GLE au X6 Kawaida unakuta anapush dada mzuri yupo mwenyewe.

Kuna Rafiki yangu mkongo alienda na Bibi ya kitanzania Ushongo Beach akalalamika Kila mara.
 
za kimanga sizielewagi.. au sijui mazoe 😀😀😀😀.. mambo yote za kibongo flani hivi
Za Kibongo zipo Mkuu, sema huku wanapenda Kwa ajili ya privacy kuna watu wanakuja hawataki karaha wanahitaji utulivu na mapumziko.


Jioni ukitembea Pwani Kwa Pwani kuanzia mwanzo mpaka Mwisho utaona mambo ya Maldives na Ibiza utakutana na wabongo au wazungu wakifanya Yao.
 
Basi inabidi kuja hapo kuyabariki macho 😀😀😀
 
😂😂😂😂😂 maeneo kama hayo hatwendi na manzi wetu, utaishia kujilaumu tu.. na ukose fursa za msingi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…