Hata Sudani inafika.
Fanya service basi.
Hako kwa kua huna haraka we kaendeshe kwa step. Kapumzishe Dom kabla hujakapeleka Mwanza.Poapoa,vip naeza drive oneway au niwe nakapumzisha i.e dar-dom alaf dom-mwanza
Unaenda direct bila kupumzika.Wakuu kwema,
Nmenyanyua ist juzi bandarin sasa nataka nikapulize hadi mwanza wiki ijayo nipeni maujuz kama katafika kutoka dar pia niende moja kwa moja au niweke vituo mfano nikitoka dar nilale dom then kesho niunge had mwanza….
Karibun kwa mawazo ni vitu gani vya kuzingatia kabla,wakati na baada ya safari.
NB:Sitafanya mashindano yoyote road naenda kistarehe kabisa sina haraka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wale wa V8 300 series,vanguard,bmw,toureg VW, njia nyeupeee nendeni tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
VX nzito sana.IST akiamua kufanya mashindano anatembea [emoji1787] sema mie humo ndani sitakaa
Kuna IST tulitembea nayo sambamba SGD to ARU.. tunaingia town tunaikuta IST ile [emoji28][emoji28][emoji28]
IST alivimbia VX, yule sijui alikuwa anatembea speed ngapi…
Hako kwa kua huna haraka we kaendeshe kwa step. Kapumzishe Dom kabla hujakapeleka Mwanza.
Kulingana na maelezo yako ndo umekanyanyua tu juzi kati kutoka kwenye maji, em kadekeze dekeze kwanza mpaka kizoeee mazingira ya afrika [emoji3]
[emoji1787][emoji1787]
Wakuu kwema,
Nmenyanyua ist juzi bandarin sasa nataka nikapulize hadi mwanza wiki ijayo nipeni maujuz kama katafika kutoka dar pia niende moja kwa moja au niweke vituo mfano nikitoka dar nilale dom then kesho niunge had mwanza….
Karibun kwa mawazo ni vitu gani vya kuzingatia kabla,wakati na baada ya safari.
NB:Sitafanya mashindano yoyote road naenda kistarehe kabisa sina haraka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wale wa V8 300 series,vanguard,bmw,toureg VW, njia nyeupeee nendeni tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unayo, nakuomba ukiweza wewe na wenzako wengine muwe mnapunguza ukubwa wa hizo GiFs zenye Glitch hata ziwe ndogo basi tuone wote.pole sana. sina namna kukusaidia.
Mkuu sorry...hivi legacy 2011 una idea nayo?Hata Sudani inafika.
Fanya service basi.
Shida itakuwa kwako ila hiyo gari inadunda non stop.Poapoa,vip naeza drive oneway au niwe nakapumzisha i.e dar-dom alaf dom-mwanza
Hapana mkuu.Mkuu sorry...hivi legacy 2011 una idea nayo?
Kuna wakati nilikuwa naweka full kwa 165k sahivi inagonga 204k.Wale wa Diesel tukajaze wese usiku
Mambo si mambo[emoji23]
Mnapandisha Bei[emoji1787][emoji1787][emoji848]Wale wa Diesel tukajaze wese usiku
Mambo si mambo[emoji23]
Kesho Diesel inasoma 3000 kupanda.Kuna wakati nilikuwa naweka full kwa 165k sahivi inagonga 204k.
UsikuMnapandisha Bei[emoji1787][emoji1787][emoji848]
Vituo havina mafuta.Mkojo wa mwarabu huoo
....kajaze usiku huu...kesho maumivu...[emoji22][emoji22]View attachment 2210473