Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Poapoa,vip naeza drive oneway au niwe nakapumzisha i.e dar-dom alaf dom-mwanza
Hako kwa kua huna haraka we kaendeshe kwa step. Kapumzishe Dom kabla hujakapeleka Mwanza.
Kulingana na maelezo yako ndo umekanyanyua tu juzi kati kutoka kwenye maji, em kadekeze dekeze kwanza mpaka kizoeee mazingira ya afrika 😀
 
Wakuu kwema,

Nmenyanyua ist juzi bandarin sasa nataka nikapulize hadi mwanza wiki ijayo nipeni maujuz kama katafika kutoka dar pia niende moja kwa moja au niweke vituo mfano nikitoka dar nilale dom then kesho niunge had mwanza….

Karibun kwa mawazo ni vitu gani vya kuzingatia kabla,wakati na baada ya safari.

NB:Sitafanya mashindano yoyote road naenda kistarehe kabisa sina haraka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wale wa V8 300 series,vanguard,bmw,toureg VW, njia nyeupeee nendeni tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unaenda direct bila kupumzika.
 
Hako kwa kua huna haraka we kaendeshe kwa step. Kapumzishe Dom kabla hujakapeleka Mwanza.
Kulingana na maelezo yako ndo umekanyanyua tu juzi kati kutoka kwenye maji, em kadekeze dekeze kwanza mpaka kizoeee mazingira ya afrika [emoji3]

Hahaaaaa pamoja sana nitakua nakapa na uji wa lishe kabsaa mpka kafike katakua kakubwaa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yaani mkuu IST mpaka upumzike kweli. Labda weww dereva ndo mzembe kiasi kwamba huwezi kutembea masafa marefu. Watu wana paso na wanaenda Tarime kutoka Dar bila kupumzika
Wakuu kwema,

Nmenyanyua ist juzi bandarin sasa nataka nikapulize hadi mwanza wiki ijayo nipeni maujuz kama katafika kutoka dar pia niende moja kwa moja au niweke vituo mfano nikitoka dar nilale dom then kesho niunge had mwanza….

Karibun kwa mawazo ni vitu gani vya kuzingatia kabla,wakati na baada ya safari.

NB:Sitafanya mashindano yoyote road naenda kistarehe kabisa sina haraka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wale wa V8 300 series,vanguard,bmw,toureg VW, njia nyeupeee nendeni tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkojo wa mwarabu huoo
....kajaze usiku huu...kesho maumivu...[emoji22][emoji22]
Screenshot_2022_0503_222420.jpg
 
Back
Top Bottom