Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hahaha...ndiyo hivyo mkuu jamaa wakibana mlango inabidi kutokea dirishani.
Jamaa alishauriwa aining'inize pale kwenye Kioo cha kutazamia nyuma...
Akala cheti chenye nembo ya Polisi Tanzania..
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dah... pole sana kwake
Ila fresh. Tunasuka mbinu mpya. Kama.kawa... chini kwa chini mpaka tutoboe ndani
 
Wakuu kama mmeona njia ya Dar-Moshi mmekutana na madereva wengi wananing'iniza samaki kwenye side mirrors. Hivi ni samaki gani wale na wanatoka wapi? Na kuning'iniza vile ni kuepuka shombo kwenye gari au ?
Wale ni perege na at times ni kambale. Kuwela vile husaidia kupigwa upepo ili wasichache. Ile kuharibika.
 
Wakuu kama mmeona njia ya Dar-Moshi mmekutana na madereva wengi wananing'iniza samaki kwenye side mirrors. Hivi ni samaki gani wale na wanatoka wapi? Na kuning'iniza vile ni kuepuka shombo kwenye gari au ?
......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....
Kama uliona wale samaki wenye sura ya Sato basi hao huku kaskazini wanaitwa PEREGE...

Lengo la kuwaning'iniza vile ni ili wapihwe na upepo, wakikaa ndani ya gari na joto la gari wataharibika mapema.....

Ila kama umeona samaki mkunwa kama nyoka, utakuwa umeona kambale...Wana sharubu hawa...
 
Huyu dereva naye alikuwa ni SAMAKI kama hao SAMAKI aliowanunu...
Yaani dereva anatoka Pangani mpaka Korogwe ndiyo anagundua Side mirror na SAMAKI havipo...

Ina maana yeye anaendesha tu gari. hata hatupii jicho kwenye side mirror kujiridhisha kuwa hakuna kinachokuja nyuma..?
 
Nimemuelewa sana mshkaji,na ni eye opening kwangu na nitafanyia kazi hio kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa muktadha huo, hata mimi nimemuelewa sana...
Kwa mtu anayeushi kwenye fokeni za Dar, kwma amepanga kumwaga oil badaa ya Km 3000, basi amwage kwenye km 2500....km 500 tunachukulia zimeliwa kwenye foleni injini ilipokuwa idle..
 
So far sijakutana na hiyo changamoto hapa arusha.



Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
You must be very lucky....wakishakaa pale Philips kwenye mataa labda ukute wamezuia gari zaidi ya tano ndiyo utapita...na hao ndiyo wale wa washa taa, mara washa kile...

Usiombe ukakutana na mmoja anaitwa afande Masai......habari yake ni nyingine...

Ukiingia mikononi mwake imeisha hiyo
 
Kwa muktadha huo, hata mimi nimemuelewa sana...
Kwa mtu anayeushi kwenye fokeni za Dar, kwma amepanga kumwaga oil badaa ya Km 3000, basi amwage kwenye km 2500....km 500 tunachukulia zimeliwa kwenye foleni injini ilipokuwa idle..
Naam mkuu,na umeiweka kwny hesabu imekaa vzr zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee kama alipitia ile shortcut ya Pangani-Muheza basi simlaumu sana maana ile barabara ni rough halafu nyembamba

Na mtu ukisema ukazungukie Tanga Mjini utakesha bora wangeweka lami na kupanua ile barabara maana ni shortcut nzuri mno
 
Isanga family nina shida na gari kama hii kutoka hapo south nipe utaratibu na bei
Mkuu nadhani ungecheki pick up land cruiser olx.co.za kwa kujua bei tuu zidisha na 160 ndio rate ya rand iliyopo leo hapo ni kuangalia tuu maana yapo mengi usifanye kitu chochote mambo ya pesa hapo baadhi ya minada imefungwa mpaka mwisho wa mwezi huu huko kuna bei nafuu ila unaweza kupata mwaka ambao ww huitaji...na pia zipo za petrol na diesel ni wewe tuu kwa Uchaguzi wako ila ukinunua ukiwa SA ni kwenda interpol,na mambo ya Dot ukitoka hapo unaenda kupata clearance ya mzigo kutoka nje ya SA ni bure ila dot kule unalipa haizidi laki na interpol ni bure ukitumia agent kupata hizo karatasi zote unamlipa rand 5000 maana ofisi zipo Jhb na Pretoria hizo gari zipo nyingi sana Mimi nanunua zilizogongwa na kuwekwa scrape napeleka kuinyoosha kwa pesa kidogo naondoka nayo iliyogongwa unapata kwa hela pungufu kuliko ya yard au mnadani maana unyooshaji wa huku unatoa vyote na kununua vingine sio kunyosha bati tunachozingatia isipinde chassis tuu ndio ina gharama kubwa au ununue ingine na kuikata iliyopinda kuinyosha...
 

Shukrani sana, wacha nicheki alafu mambo yakiwa byee nakucheki tena kiongozi.
 
Mkuu nimechungulia kweli ndinga bei rahisi sana ila sijajua ubora maana SA nayo ni Afrika tu iliyochangamka
Ubora upo kampuni ni zile zile, kitu kinachobadilika labda ni standards na option features kulingana na soko la huko South Africa.

Mzee wa Vw Polo, Kuna Vw Golf naiona hapa nchini Kati ilitoka South na ina muda mrefu inatamba na ina plate number za Gauteng province.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…