Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimecheka sana uliponiita mzee wa VW Polo...sawa boss ngoja tupambane zaidi tuchukue siku za usoni maana namuona hata Shetta anatamba na Discover yake aloyochukua huko SA.
Ubora upo kampuni ni zile zile, kitu kinachobadilika labda ni standards na option features kulingana na soko la huko South Africa.

Mzee wa Vw Polo, Kuna Vw Golf naiona hapa nchini Kati ilitoka South na ina muda mrefu inatamba na ina plate number za Gauteng province.
 
Nimecheka sana uliponiita mzee wa VW Polo...sawa boss ngoja tupambane zaidi tuchukue siku za usoni maana namuona hata Shetta anatamba na Discover yake aloyochukua huko SA.
Mzee wa Vw Polo, Kuna raia wabishi naona wanakuja na Discovery, Land Cruiser LX na Vw Golf kutoka South kisha wanazitumia na plate number za Gauteng, Mpumalhanga nadhani wamekubali kulipia kila mwaka.
 
IMG_3922.jpg
 
Mkuu nimechungulia kweli ndinga bei rahisi sana ila sijajua ubora maana SA nayo ni Afrika tu iliyochangamka
Gari zao ni bora mimi huwa nanunua ni service ndogo tuu na inafika Tanzania vizuri tuu na ipo moja ford bantam kipo home ni kigumu kile kigari nadhani walikosea nilinunua nikaona mbona ka pick up harafu bei ndogo nilikafanya escort kwa gari zingine kana speed mpaka 220 na balance ipo nimeweka rim nzuri kapo kispoti sana nilinunua 2012 mpaka kesho kapo na kila siku wanakatumia nimeona vipo chev pick up pia nazo jiwe tuu...tofauti ya Japan na SA ni kwamba gari ikiwa ya miaka ya nyuma hata iwe range Rover itashuka bei tuu...JHB magari ni mengi kuliko wanunuzi tena yale mazuri kabisaa ambayo likipita sehemu bandama lazima listuke...Ni vile SA watu hawana taarifa nako na usalama pia ukiingia hovyo siko
 
Braza na makadirio ya kodi hapo boda ya tunduma yapoje mfano kwa hzio LC 70 series au 100 series?
 
Ikiwa SA made inapungua chini ya 20m maana ni SADC ila ikiwa haijatengenezwa SA Kodi ni zaidi ya 25m mpaka 33m inategemeana na mwaka pia ili ulipe Kodi kwa rate ya SADC unatoka na karatasi yao kabisa SA ukiiambatanisha tuu kwenye makaratasi yako unapotaka kukadiliwa inapungua na Cruiser zao naona zina code namba ambayo ni rahisi wao kutambua ikiingizwa kwenye system za kukadiliwa na ukiwa na makabrasha yako...
 
Mzee wa Vw Polo, Kuna raia wabishi naona wanakuja na Discovery, Land Cruiser LX na Vw Golf kutoka South kisha wanazitumia na plate number za Gauteng, Mpumalhanga nadhani wamekubali kulipia kila mwaka.
Hii imekaaje ,,kwani kubadili ni gharama au kulipia hizo plate sio gharama?
Hizo unazoona wanatembea na namba za SA hawajalipia ushuru. Wanakata kibali cha miezi mitatu. Ikiisha inabidi gari itoke border ila hapa mjini mambo mengi siwezi kuweka hapa jamvini miezi mitatu ikiisha wanafanyaje bila gari kutoka waendelee kutumia.
 
Gari zao ni bora mimi huwa nanunua ni service ndogo tuu na inafika Tanzania vizuri tuu na ipo moja ford bantam kipo home ni kigumu kile kigari nadhani walikosea nilinunua nikaona mbona ka pick up harafu bei ndogo nilikafanya escort kwa gari zingine kana speed mpaka 220 na balance ipo nimeweka rim nzuri kapo kispoti sana nilinunua 2012 mpaka kesho kapo na kila siku wanakatumia nimeona vipo chev pick up pia nazo jiwe tuu...tofauti ya Japan na SA ni kwamba gari ikiwa ya miaka ya nyuma hata iwe range Rover itashuka bei tuu...JHB magari ni mengi kuliko wanunuzi tena yale mazuri kabisaa ambayo likipita sehemu bandama lazima listuke...Ni vile SA watu hawana taarifa nako na usalama pia ukiingia hovyo siko
Sijawahi kuwaza kama ntakuja kwenda S.A.

Ila panaonekana kuna mambo mazuri ya kwenda kutazama.
 
ukienda kutembea Cape Town ukapita huko long street na viunga vyake camps bay,sea point hayo mambo ya crime utauliza ni sehemu gani yapo au hapo waterfront na hapo Cassino good wood...crime zipo location wanakoishi wazawa na coloured huko town kupo quite sana tofauti na JHB mjini pana vurugu na location vurugu za kutosha..cape mjini camera zake zinafanya kazi ila jhb wameshaziharibu wezi
 
Mkuu SA crime rate iko juu no matter how you wanna paint it! Inabidi uwe mwenyeji ili ujue mitaa salama, btw nina rafiki zqngu washawahi kuwa robbed kwa bunduki Sandton can you imagine.
 
Dah....Mnyama amerejea Dar bila changamoto yoyote...ametembea umbali wa km 1800....na kupanda urefu kiasi cha mita 2600.. karibu nusu ya Kilimanjaro...nasubiri kukuche....apate povu na maji ya uvuguvugu kisha ang'arishwe arejee bandani....afunikwe...asubiri trip nyingine [emoji2960]
 
Back
Top Bottom