Mnakosea maana cape ndio wanaongoza kwa crime SA ila ni kwenye makazi yao kama Langa,Phillip,Hanover Park Phillip na Langa ndio wanaongoza kila mwaka kwa kiwango cha crime rate kuwa juu...sema huko ni nje ya mji kwa wageni hakuna madhara sana tofauti na jozi crime ipo mjini au maeneo ya shughuli zako..wakati Jozi kupita tembisa, mamelodi au Soweto unaweza kama hauko kwenye target yao ila Cape hivyo vitongoji uwe kwenye target au mpya hukatizi huko wanakwita crossroad labda uwe na gari inayokimbia mno kuwazidi wao...