Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tiguan hio 2.0TFsi si mchezo
Yes hii ni 2.0 yenye Turbo kwahio moto wake sio wa kitoto. Polo gti ni engine ndogo ila ina turbo nayo inakimbia sana.Hiyo 2.0 inamaanisha engine cc 2000? au ni kitu tofauti. Tiguan ni maji marefu hiyo nadhani, na ipo juu (ground clearance) kwa hizi barabara zetu za mabonde kuinama. Nadhani hiyo tiguan kwa long trip ni full burudani.
Nachoipendea VW Polo GTi iko kwenye kundi la baby walkers, it means engine CC ni ndogo, then very economy. Niliwahi kuona vw polo ina cc 1500 if I don't mistaken. Kwa long trip ni kuwawashia endiketa tu hawa akina Paso, IST, premio, na wachovu wachovu wengine 😁
Habari mkuu kama wewe ndo ulikuwa unadrive hii touran basi nimekuona kuna sehemu hapa jijiniWengine tuko mjini na foleni hadi tunazima magari
View attachment 1668302
Habari mkuu kama wewe ndo ulikuwa unadrive hii touran basi nimekuona kuna sehemu hapa jijini
Sent from my Nokia using JamiiForums mobile app
Picha za kwenye magroup hizoHabari mkuu kama wewe ndo ulikuwa unadrive hii touran basi nimekuona kuna sehemu hapa jijini
Sent from my Nokia using JamiiForums mobile app
Hahahaha nimekuelewa mkuu [emoji2]Picha za kwenye magroup hizo
4Mfano ww gari yako ina triangle ngapi?
Mkuu hii yako Ni VW model ipi..?Wengine tuko mjini na foleni hadi tunazima magari
View attachment 1668302
Yes hii ni 2.0 yenye Turbo kwahio moto wake sio wa kitoto. Polo gti ni engine ndogo ila ina turbo nayo inakimbia sana.
Typ 1KGolf Mk5
Gari ya Ulaya hii 😂😂😂Wengine tuko mjini na foleni hadi tunazima magari
View attachment 1668302
Aisee!Imeisha hiyo...
Karibuni mjipatie magari mazuri.View attachment 1669949