feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Nimecheka sana uliponiita mzee wa VW Polo...sawa boss ngoja tupambane zaidi tuchukue siku za usoni maana namuona hata Shetta anatamba na Discover yake aloyochukua huko SA.
Ubora upo kampuni ni zile zile, kitu kinachobadilika labda ni standards na option features kulingana na soko la huko South Africa.
Mzee wa Vw Polo, Kuna Vw Golf naiona hapa nchini Kati ilitoka South na ina muda mrefu inatamba na ina plate number za Gauteng province.