mimi namshukuru Mungu kwa kweli, hii nchi kama kuzurula nimezurula sana na ninaendelea kuzurula.Duh nimemiss roadtrip ila kila nikichungulia bei ya wese nakuwa mpole...full tank moja 200,000/- na trip ya kawaida nahitaji tank mbili balaa tupu!
Hii siyi Iringa Dodoma? Via Mtera?mimi namshukuru Mungu kwa kweli, hii nchi kama kuzurula nimezurula sana na ninaendelea kuzurula.
mpaka sasa karibia mikoa yote nimefika. nimebakiza kisiwa cha pemba tu.
hii ilikuwa katika roadtrip wiki chache zilizopita nikitoka mkoa A kwenda mkoa D.
wakali wa location bila shaka mnaijua hiyo barabara, ina mkeka flani umetulia sana kwa driving.
View attachment 2256898
Hahaha sio kama IST.. ila ile 👑 ya King of the Road inavuliwa..Hahaa zitakuwa kama ist siyo
Duh kumbe zinaitwaje
hapana, sio iringa dodoma.Hii siyi Iringa Dodoma? Via Mtera?
Nimeona viraka [emoji3][emoji3]
MashaallahMercedes benz Maybach GLS 600 base include 4.0L v - 8 550hp twin turbo engine with a 9 speed automatic transmission + overdrive [emoji1544]View attachment 2243318
Spotted somewhere , hatari sana aisee
Holy Mother of God!VW for life....300kph Bongo 🙌🙌🙌
View attachment 2244956
Yani bei ya wese unaifeel kabisa. Sema hamna namna kwa sisi wengine. Niko Dodoma hapa nasubiri vichwa nianze trip kurudi mjiniDuh nimemiss roadtrip ila kila nikichungulia bei ya wese nakuwa mpole...full tank moja 200,000/- na trip ya kawaida nahitaji tank mbili balaa tupu!
Pole mkuu. Nashangaa mpaka leo hakuna mfanyabiashara aliyeweka sheli katikati humo hata mitaa ya MigoriBarabara tulipigwa kwa kweli, ni kama cake yani.
Ila barabara iko empty mpaka raha.
Tatizo jingine hii njia haina petrol station, imenibidi kutia mafuta ya chupa kijiji kimoja kabla ya mpuguzi.
Nilizembea kuongeza mafuta iringa nikijua ntaweka mbele ya safari, baada ya mtera kuna petrol station moja tu nayo niliipita hoping for better one.
Nimejifunza kitu.
Sasa imagine ungekuwa na 2.5LYeah, ni 1.5L
Ubao unasoma ngapi? Sometime STL wanatuliaga kwenye 160 / 170
Unyama sanaVW for life....300kph Bongo 🙌🙌🙌
View attachment 2244956
Hahaha mkuu kama hao wajerumani wanaoshuka bandarini ni wale wale kina BMW 1 series na 3 series, au wale kina X series wa miaka ya 2000s, basi LC 200 ataendelea tu kuwa King of the road until further noticeHahaha sio kama IST.. ila ile [emoji146] ya King of the Road inavuliwa..
Hizo jina ni LC200..!
Yes sio kila mjerumani atawezana na LC200.. Ila hata Bimmerz za pre 2000s zinasmoke LC200.. E36 328i na E46 330i.. Wajerumani kwenye swala la mwendo ndio speciality yao..!Hahaha mkuu kama hao wajerumani wanaoshuka bandarini ni wale wale kina BMW 1 series na 3 series, au wale kina X series wa miaka ya 2000s, basi LC 200 ataendelea tu kuwa King of the road until further notice
Kwahiyo na wanaozitengeneza wanavyoandika neno V8 kule nyuma huwa wanakosea siyo au hazitumii V8 engines
Inabidi ujifunze sana juu ya magari. Neno V8 lisikubabaishe. Nimepost video ya vidude viwili, kimoja kibaenda kama 250kph halafu mwingine anapita kama kasimama figure out anaenda speed gani. Hivyo vigari ni cc2000 tu 4 cylinder hizo VX zenu hazitii pua hapo. Mwaka wa gari sio issue. Kuna 1series 130i mwaka 2007 hakuna VX bongo inatia pua hapo.Hahaha mkuu kama hao wajerumani wanaoshuka bandarini ni wale wale kina BMW 1 series na 3 series, au wale kina X series wa miaka ya 2000s, basi LC 200 ataendelea tu kuwa King of the road until further notice
Kwahiyo na wanaozitengeneza wanavyoandika neno V8 kule nyuma huwa wanakosea siyo au hazitumii V8 engines
Kuna V8 bwege nasikia....Yes sio kila mjerumani atawezana na LC200.. Ila hata Bimmerz za pre 2000s zinasmoke LC200.. E36 328i na E46 330i.. Wajerumani kwenye swala la mwendo ndio speciality yao..!
V8 badge sio jina la gari.. Kuna Toyota nyingi zinatumia V8 engines ila haziitwi Vietee..! Wewe kunywa pombe haibadilishi jina lako Hadde kuwa mlevi..!
Hahaha hizo zitakuwa 100 seriesKuna V8 bwege nasikia....
Mkuu hapa bongo ni wangapi wenye hizo bimmer ulizozitaja maana bandarini kwetu zinazoshuka ni zile zile tulizozizoeaYes sio kila mjerumani atawezana na LC200.. Ila hata Bimmerz za pre 2000s zinasmoke LC200.. E36 328i na E46 330i.. Wajerumani kwenye swala la mwendo ndio speciality yao..!
V8 badge sio jina la gari.. Kuna Toyota nyingi zinatumia V8 engines ila haziitwi Vietee..! Wewe kunywa pombe haibadilishi jina lako Hadde kuwa mlevi..!
Hahaha mkuu wala sijababaishwa na V8 engines ila hapo tunaongelea LC 200 (na siyo zote) maana kuna hata gari zenye V6 zinatimuka kuliko zenye V8Inabidi ujifunze sana juu ya magari. Neno V8 lisikubabaishe. Nimepost video ya vidude viwili, kimoja kibaenda kama 250kph halafu mwingine anapita kama kasimama figure out anaenda speed gani. Hivyo vigari ni cc2000 tu 4 cylinder hizo VX zenu hazitii pua hapo. Mwaka wa gari sio issue. Kuna 1series 130i mwaka 2007 hakuna VX bongo inatia pua hapo.
[emoji1787]Kuna V8 bwege nasikia....