smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
mimi namshukuru Mungu kwa kweli, hii nchi kama kuzurula nimezurula sana na ninaendelea kuzurula.Duh nimemiss roadtrip ila kila nikichungulia bei ya wese nakuwa mpole...full tank moja 200,000/- na trip ya kawaida nahitaji tank mbili balaa tupu!
mpaka sasa karibia mikoa yote nimefika. nimebakiza kisiwa cha pemba tu.
hii ilikuwa katika roadtrip wiki chache zilizopita nikitoka mkoa A kwenda mkoa D.
wakali wa location bila shaka mnaijua hiyo barabara, ina mkeka flani umetulia sana kwa driving.