Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 17,003
Pia nimeona ulinganifu wa humu haupo haupo fair. wanalinganisha gari zikiwa zimachana sana uwezo hadi beiHaha tunaelewana mkuu ila unakuta kuna mwingine analinganisha magari unaona kabisa huyu ni mahaba tu