Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wajerumani 2022 hawagusiki kirahisi unaweza kuta una nunua hizo LC300 mbili kama wa RR SVR 2022 .. [emoji1][emoji1][emoji1]
Labda uongelee wajerumani wale rare au super cars. Kama R8.

Ila most of german cars are very affordable.

Usiichukulie LC300 kirahisi hivyo. Hilo dude ni very expensive.

Vile serikali inayamiliki ya kutosha kupitia kodi zetu.
 
Labda uongelee wajerumani wale rare au super cars. Kama R8.

Ila most of german cars are very affordable.

Usiichukulie LC300 kirahisi hivyo. Hilo dude ni very expensive.

Vile serikali inayamiliki ya kutosha kupitia kodi zetu.
Hiyo ni SVR ya 2020.. na bei kama ulivyo ona.. kaangalia na bei ya LC300.. Na mwisho wa siku sijaibeza LC300 hata kidogo ukiangalia tokea juu utaona. Na mwisho wa siku kabisa sibezi gari aina yoyote vipato vyetu ni tofauti .. na kumalizia kila nchi ina gari affordable german na japan na hata US .. chaguo linatokana na mfuko wako
 
Hapo bado Ushuru wa bongo
 
Source yako ni questionable.

Huyo dalali wa Kenya ana utofauti gani na wale wa Mlimani City? Kairo hawezi kuwa reliable source ya bei halisi ya magari.

Hiyo ni sawa na $105,000.

Bei ya LC300 series inaweza ikawa kubwa zaidi ya hii.
 
Unataka niamini source yako ? hiyo ni SVR carbon edition na sio normal SVR . Pia kama mtu ataenda nunua hiyo gari anajua abc za manunuzi hata mitandaoni kwa hiyo gari .. pia huyo ni muuzaji wa gari nyingi na zinauzika
 
Unataka niamini source yako ? hiyo ni SVR carbon edition na sio normal SVR . Pia kama mtu ataenda nunua hiyo gari anajua abc za manunuzi hata mitandaoni kwa hiyo gari .. pia huyo ni muuzaji wa gari nyingi na zinauzika
Autotrader is the most trusted car re-seller in Europe. Unafananisha na huyo dalali anaeuza gari za Singapore?

Na wanaonunua magari kwa madalali kama Kairo are clueless about prices, models or specs?

Ndo mnaoambiwa gari ya 2007 new model na nyie mnajaa.
 
Nimekuuliza swali niamini source yako ?

Unaleta mambo ya ulianganifu, wapi nimelinganisha au kufananisha madalali ?

Wapi nimesema gari za 2007 ni new model ..

Nimeweka hapo hiyo ni RR SVR Carbon Edition na bei yake anayo uza muuzaji. Simple Jamaa anuza gari na sio zote anachukulia Singapore.

Kairos LC300 ameuza ukipita utaona bei yake

Narudia LC300, haiwezi kuwa juu ya RR SVR Fiber edition.. Na kusema hivi sio nimeibeza LC300..
 
Asee nimeamini hiko kitu kaka, daah! Yani sio kwa kinyonge kule, Dhahabu imewainua sana.
Nakushauri usiende kichwa kichwa kuwekeza kwenye hiyo biashara; kakae kwa muda kidogo ujiridhishe, ikibiti tafuta hata vibarua kwao ili upate experience, ukienda na fedha zako kuwekeza haraka haraka utapigwa ushangae. Ushauri hu ni kwa wale tu wanao taka kwenda kufanya biashara ya DHAHABU huko Kahama na GEITA! Sina hakika na utamaduni wa watu wa Chunya na sehemu zingine ambazo zina chimba dhahabu
 
Kuna jamaa mmoja hivi machimbo ya SEKENKE alizamisha billion 2 ndani ya miezi mi5 na hajapata pesa ya kueleweka hadi leo zaid ya pesa ya kula tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…