Hahahahah ni bora kuiondoa tu limiter, hizi fedhea sasa wanataka kutufedhesha wajepu weusiWapo ILA contact zao sina. Wanatoa limiter mambo ya laptop tu
Tafta VX-R tuoneNiliziona beforward hizo
VX-R ndio mashine ya kwenda 😀😀😀 inamwaga moto balaa nafikiri wanene ndo wataishi nazo hizo za 18O zinaua uhondo. 4O9Horses just at 18O ni mwendo mfupi mnoLc200 GX/ZX nafikiri ndio limit 180kph...ila VX-R linatoririka tu
Naona zenye muonekano wa kibabe zaidi ni ZXTafta VX-R tuone
Bado kuna raia wanahisi Toyota hana gari, gari anazo bana sema za bei ghali. Naona wametoa na Lexus RX35O imesimama sana nayo iko kama bmw X1 kwa umboLile dubwasha ni balaa. Mimi napenda Ile Ile LC200 VX-R
LC 300 ZX zimekaa kibabe, macho tu yanavutiwa kulitazama.. kuna siku nipo pale morogoro mitaa ya morena, chuma hiyo nyeupe..Lile dubwasha ni balaa. Mimi napenda Ile Ile LC200 VX-R
ZX ndio top of the line katika Trim levels. Ina kila kitu kwenye comfort zone kuanzia leather mpaka suspensionsNaona zenye muonekano wa kibabe zaidi ni ZX
Nakaona kadogo.LC 300 ZX zimekaa kibabe, macho tu yanavutiwa kulitazama.. kuna siku nipo pale morogoro mitaa ya morena, chuma hiyo nyeupe.. View attachment 2276549
Ina commanding presence hasa hio front fascia. Imekaa kibabe sanaLC 300 ZX zimekaa kibabe, macho tu yanavutiwa kulitazama.. kuna siku nipo pale morogoro mitaa ya morena, chuma hiyo nyeupe.. View attachment 2276549
Kwanini unaona kadogo ? Na uikute road .. kuna moja nyeusi ya ubalozi.. ilinipita maeneo ya Morogoro yani unaiacha tu ipite unafurahi kuiona ilivyo shika barabara 😄😄😄 maana naona hata dereva wake alikuwa ni mtu wa mwendoNakaona kadogo.
hapo ukipaki pale maeneno, una mkonyeza mtoto una mpa signal.. kabla hajaingia tayari 🤣🤣🤣Ina commanding presence hasa hio front fascia. Imekaa kibabe sana
Imekuwa trimmed... smaller than LC200Kwanini unaona kadogo ? Na uikute road .. kuna moja nyeusi ya ubalozi.. ilinipita maeneo ya Morogoro yani unaiacha tu ipite unafurahi kuiona ilivyo shika barabara 😄😄😄 maana naona hata dereva wake alikuwa ni mtu wa mwendo
Ni kweli, hapo. imekuelwaImekuwa trimmed... smaller than LC200
Kitu imechapwa "Sportplus" mgongoni mashine inaita balaa.Jana nimeona LX570 Sport Edition....duh pesa tamu
Hahahahah hapo ni day running lights za mkonyezo tu mtoto mwenyewe anajiongeza 😂😂😂hapo ukipaki pale maeneno, una mkonyeza mtoto una mpa signal.. kabla hajaingia tayari 🤣🤣🤣
Naona ndio market trend sahizi kupunguza ukubwa kidogo nafikiri sahizi itakuwa na proportion almost kama za Range RoverImekuwa trimmed... smaller than LC200
Hahahahahah hata ingekuwa wewe mzee gari haina vibao vya 5O unatembeaje kinyonge na odo ndio kwanza inasoma OOO7513KMKwanini unaona kadogo ? Na uikute road .. kuna moja nyeusi ya ubalozi.. ilinipita maeneo ya Morogoro yani unaiacha tu ipite unafurahi kuiona ilivyo shika barabara 😄😄😄 maana naona hata dereva wake alikuwa ni mtu wa mwendo
😄😄😄 unyama mwingine ni GR sport imekaa ki afande sana ki escort.. kuna moja ya makumbusho black hivi.. sijui wanataka wabadirishe watumie hizo.. hizi gari ukiziona zipishe.. labda na wewe uwe na kifua hasaKitu imechapwa "Sportplus" mgongoni mashine inaita balaa.
Hahahahah hapo ni day running lights za mkonyezo tu mtoto mwenyewe anajiongeza 😂😂😂
Zile ukiwa mtumiaji wa njia ya Tanzanite Bridge na njia za mbele mbele mle watu wanaishi nazo tuJana nimeona LX570 Sport Edition....duh pesa tamu