Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Lile dubwasha ni balaa. Mimi napenda Ile Ile LC200 VX-R
LC 300 ZX zimekaa kibabe, macho tu yanavutiwa kulitazama.. kuna siku nipo pale morogoro mitaa ya morena, chuma hiyo nyeupe..
images (1).jpeg
 
Jana nimeona LX570 Sport Edition....duh pesa tamu
Kitu imechapwa "Sportplus" mgongoni mashine inaita balaa.
hapo ukipaki pale maeneno, una mkonyeza mtoto una mpa signal.. kabla hajaingia tayari 🤣🤣🤣
Hahahahah hapo ni day running lights za mkonyezo tu mtoto mwenyewe anajiongeza 😂😂😂
 
Kwanini unaona kadogo ? Na uikute road .. kuna moja nyeusi ya ubalozi.. ilinipita maeneo ya Morogoro yani unaiacha tu ipite unafurahi kuiona ilivyo shika barabara 😄😄😄 maana naona hata dereva wake alikuwa ni mtu wa mwendo
Hahahahahah hata ingekuwa wewe mzee gari haina vibao vya 5O unatembeaje kinyonge na odo ndio kwanza inasoma OOO7513KM
 
Kitu imechapwa "Sportplus" mgongoni mashine inaita balaa.

Hahahahah hapo ni day running lights za mkonyezo tu mtoto mwenyewe anajiongeza 😂😂😂
😄😄😄 unyama mwingine ni GR sport imekaa ki afande sana ki escort.. kuna moja ya makumbusho black hivi.. sijui wanataka wabadirishe watumie hizo.. hizi gari ukiziona zipishe.. labda na wewe uwe na kifua hasa
2021_Toyota_LandCruiser_300_Series_GR_Sport_14.jpg
 
Back
Top Bottom