Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sio kila mnyama wa mzungu ni mzungu [emoji1][emoji1][emoji1] utachoma tu mafuta bure, pale kidogo unaweza unaleta ushindani kama una kifua cha maana, kama una chini ya 300HP ni hekima kuipisha tu
Hp/weight ratio ndo uchawi ulipo.

400hp/3tones
300hp/1.5tones.

Hapo tayari unaona nani mwepesi kuchomoka. Sijaweka torque figures.
 
Umetokea wapi? A40>M40>M6>M6toll>M56 ?! Last time kupita huko nilikula cheti hadi 6month driving ban. Nikipita kwenye temp speed limit due construction 50mph nikapita na 100mph

M25-M40-M6 toll- M56
[emoji23][emoji23]sasa Mkuu speed yote hiyo
Siku hizi camera nyingi sana

Mimi naogopa sana law Yaani licence yangu ni clean sasa yapata miaka 27 sijasimamishwa hata na police na point sina kwenye licence kwa muda huo

Daily niko barabarani mara moja kwa wiki naenda Manchester ila mda mwingine wote niko mjini London

Sheria zimekuwa ngumu sana jana kuna mbili zimepita
Ukipita kwenye cycle lane faini na ukiuwa kwa drink and drive au ukauwa kwa uendeshaji mbaya kama speed 20 ukapita tuseme 60 mph ukauwa unafungwa Maisha

Napenda speed lakini kwa sheria naogopa sana [emoji23]
 
Ujana ulikuwa unasumbua.
 
Bongo tunalalama tu ila tuna raha sana
 
Bongo tunalalama tu ila tuna raha sana

Kuna raha Kweli ila ajali za kizembe sana yaani unakuta kila mwezi ajali za mabasi yanauwa watu kibao
Sheria hazifuatwi kabisa
Raha labda hali ya hewa na chakula ila usafiri hapana

Gari matairi yameisha kabisa traffic anakukamata unampa hela anakuachia na wewe unajiona mjanja kumbe unaenda kufa

Sorry labda nimekurupuka [emoji23] Hebu niambie hiyo raha
 
Raha ndio hiyo leeway ya sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…