Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho wa manenoMashine imetulia sana sema wameboa hapo kwenye speedo
Mwisho wa maneno
View attachment 2276844Kuna mwamba alintia bakora na s500 ya 2015 ile aisee mashine imenyooka mzee bonge moja la sedan babu
Hp/weight ratio ndo uchawi ulipo.Sio kila mnyama wa mzungu ni mzungu [emoji1][emoji1][emoji1] utachoma tu mafuta bure, pale kidogo unaweza unaleta ushindani kama una kifua cha maana, kama una chini ya 300HP ni hekima kuipisha tu
Upo sawa, kabisa hizi Lc300 Vxr ina 406HP, na ina 479Nm, GR sport 300HP na torque ni 700Nm..Hp/weight ratio ndo uchawi ulipo.
400hp/3tones
300hp/1.5tones.
Hapo tayari unaona nani mwepesi kuchomoka. Sijaweka torque figures.
Umetokea wapi? A40>M40>M6>M6toll>M56 ?! Last time kupita huko nilikula cheti hadi 6month driving ban. Nikipita kwenye temp speed limit due construction 50mph nikapita na 100mphAlfajiri hiyo London- Manchester
4 hours na kurudi matano hoi View attachment 2276912
View attachment 2276913
Midland Expressway peke yangu kama nimeinunua [emoji23]
Kwa raha zangu
Umetokea wapi? A40>M40>M6>M6toll>M56 ?! Last time kupita huko nilikula cheti hadi 6month driving ban. Nikipita kwenye temp speed limit due construction 50mph nikapita na 100mph
Ujana ulikuwa unasumbua.M25-M40-M6 toll- M56
[emoji23][emoji23]sasa Mkuu speed yote hiyo
Siku hizi camera nyingi sana
Mimi naogopa sana law Yaani licence yangu ni clean sasa yapata miaka 27 sijasimamishwa hata na police na point sina kwenye licence kwa muda huo
Daily niko barabarani mara moja kwa wiki naenda Manchester ila mda mwingine wote niko mjini London
Sheria zimekuwa ngumu sana jana kuna mbili zimepita
Ukipita kwenye cycle lane faini na ukiuwa kwa drink and drive au ukauwa kwa uendeshaji mbaya kama speed 20 ukapita tuseme 60 mph ukauwa unafungwa Maisha
Napenda speed lakini kwa sheria naogopa sana [emoji23]
Ujana ulikuwa unasumbua.
Bongo tunalalama tu ila tuna raha sanaM25-M40-M6 toll- M56
[emoji23][emoji23]sasa Mkuu speed yote hiyo
Siku hizi camera nyingi sana
Mimi naogopa sana law Yaani licence yangu ni clean sasa yapata miaka 27 sijasimamishwa hata na police na point sina kwenye licence kwa muda huo
Daily niko barabarani mara moja kwa wiki naenda Manchester ila mda mwingine wote niko mjini London
Sheria zimekuwa ngumu sana jana kuna mbili zimepita
Ukipita kwenye cycle lane faini na ukiuwa kwa drink and drive au ukauwa kwa uendeshaji mbaya kama speed 20 ukapita tuseme 60 mph ukauwa unafungwa Maisha
Napenda speed lakini kwa sheria naogopa sana [emoji23]
Bongo tunalalama tu ila tuna raha sana
Raha ndio hiyo leeway ya sheriaKuna raha Kweli ila ajali za kizembe sana yaani unakuta kila mwezi ajali za mabasi yanauwa watu kibao
Sheria hazifuatwi kabisa
Raha labda hali ya hewa na chakula ila usafiri hapana
Gari matairi yameisha kabisa traffic anakukamata unampa hela anakuachia na wewe unajiona mjanja kumbe unaenda kufa
Sorry labda nimekurupuka [emoji23] Hebu niambie hiyo raha
Jamaa wanakujengea motorway three to five lanes,gari kali halafu wanakuwekea limit 80mph! Sema ukijua barabara kuna maeneo hayana camera unajiachia tu ila ukikuta polisi wametega sehemu ban itakuhusu.Bongo tunalalama tu ila tuna raha sana
Nani kasema?! 🥸Gari ni ya petrol tu .. 😄😄😄
Ukikipenda chombo na kukitunza, nacho kitakupenda na kukutunza..Hakuna kitu nakubali kama kamnyama kangu haka,hapa natoboa home kwa likizo fupi, chap kwa haraka from A townView attachment 2272877View attachment 2272878
MieNani kasema?! 🥸