Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nashukuru sana mkuu, maana Nilikuwa sielew kabisa
 
Upo sahihi mkuu, kuna mshikaji wangu pia ana 3gr kwenye crown yake huwa gauge Yale ya mafuta I inashuka haraka kuliko yangu
Mnaongea kwa hisia bado. Same engine crown na Mark X consumption sawa. Gari mnazotumia ziko over 10yrs old vitu vingi vishazeeka si ajabu kusoma numbers tofauti. Ila factory setting and specs zote sawa
 
Hio gauge ina fluctuate kulingana na hali ya barabara na uendeshaji. Kuna point inaweza kufika hadi 30k/L ila ukitaka kujua consumption sahihi fika mwisho wa safari angalia AVERAGE CONSUMPTION utapata jibu.

Naam, na imemwandikia kabisa kwa ukanyagaji wake na yupo 40+ Km/h ndio maana inampa avarage hiyo. Akiongeza tu uzito kwenye mguu avarage nayo ndivyo namba zitazidi kushuka
 
Hio gauge ina fluctuate kulingana na hali ya barabara na uendeshaji. Kuna point inaweza kufika hadi 30k/L ila ukitaka kujua consumption sahihi fika mwisho wa safari angalia AVERAGE CONSUMPTION utapata jibu.
Nimekupata vizuri mkuu, naomba kujua utofauti wa performance Kati ya mark x na crown kwa maana ninachojua zote Zinatumia engine na gearbox za aina moja, ila maneno ya mtaani ni crown inasepa kuliko mark.. hili limekaaje kitaalam.. asante
 
Sio kila BMW ni mtambo wa speed 😀😀
 
Its a waste until unapotaka kuovertake kabla ya safe space kuisha. Hapo utashukuru una all that extra power under your foot. Inafanya overtaking iwe safer.
....pls don't overtake if IT'S not safely to do so, always bring your A game when overtaking, observations ni most important, indicating, na pia kama unaendesha manual car ,gear zako zipangilie vema,ndio maana night driving ni super
 
That's why always convoy na ITs ni music mzuri, ila usimzuie mtu kukuovatake maana unaweza sababisha ajali or ugomvi wa barabarani sio mzuri, ukiona yupo right behind you mpishe, then nawe utafute njia ya kumpita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…