ozigizaga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 701
- 1,703
Wengine hata mchana tunacheza humo tu, cha msingi ujue tu wapi kofia nyeupe zinatega.. na mzigo unanusa tu mafuta.... consider speed vs RPMIla uwe na hela ya wese ya kuzidi maana wale
mipasuko yao lazma ikuchomee wallet. Wanagusa 14O-18O humo.