Yes msiachane otherwise haitakua convoy tenaCheerleader anatakiwa anyooshe goti sema msiachane sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes msiachane otherwise haitakua convoy tenaCheerleader anatakiwa anyooshe goti sema msiachane sana.
😀😀😀 kwanza kwa wale pundamilia walivyoshiba gari itakuzimikia tu pili , pundamilia mmoja fine ni $1200 kama wawili hapo ni $2400. Mwisho wa siku naiogopa Tanroads kuliko wanyamaa.. mnyama hana fine za kila siku kama TanaroadUngewapitia tu hata wawili tupate mrejesho.
😀😀😀 Wenye dhambi wajitathimi eeh.. huo moto kwenye tyre sio kabisaKile kipande ni zege, ni pale mizani
Na moto ulikuwa kama wa kuchomea wenye dhambi
View attachment 2319006
Hii LC300 VX-R inapata ushindani mzuri tu kwa Majesta V(S200), inacheua 347HP, na 460Nm, hasa kama dereva anajua mahala pa bampa to bampa sema hizi Majesta ni chache, wengi wana Crown Athlete ambazo kwa L300 zinakaa mapema tuIla naitamani experience ya LC3OO VX-R yake sijui itakuwaje in real practice maana horsepower ni ya hatari. Watu washaujaribu moto wake huko highway haushikiki.
Madereva wanao endesha gari zinazopitishiwa bandari ya dar es salaam ( TPA ) kwenda nchi jiraniWatu kazi wa road trip embu njoeni mnitoe ushamba, mnaposema madereva wa IT mnamaanisha nini, yaan IT ni nini?
Duuuh!Kile kipande ni zege, ni pale mizani
Na moto ulikuwa kama wa kuchomea wenye dhambi
View attachment 2319006
Anhaa una maanisha zile gari za kutoka jpn na kwengineko zinazopitia bandari hii ya dar kwenda nje huko kama Rwanda kongo, hao madereva ndo wanaziendesha kuzifikisha?Madereva wanao endesha gari zinazopitishiwa bandari ya dar es salaam ( TPA ) kwenda nchi jirani
Yes magari yanayopitia bandari yetu na kupelekwa nchi jirani kama Rwanda, Burundi 🇧🇮, congo, zambia malawi au Zimbabwe 🇿🇼, elewa hayajasajiliwa rasmi hapa,means international Transit (IT)ndio yanatambulishwa hivyo, madereva wake wengi ni wazoefu wa njia maana wanasafiri almost kila siku, yaani mtu anakamata T1,saa 0500am yupo Tunduma anaacha gari pale border, analamba Sauli back to Dar ili akamate IT nyingine, safari nyingi salama means more money, nadhani ni 100usd kwa gariWatu kazi wa road trip embu njoeni mnitoe ushamba, mnaposema madereva wa IT mnamaanisha nini, yaan IT ni nini?
Hizi Crown si zina 180kph limit?Hii LC300 VX-R inapata ushindani mzuri tu kwa Majesta V(S200), inacheua 347HP, na 460Nm, hasa kama dereva anajua mahala pa bampa to bampa sema hizi Majesta ni chache, wengi wana Crown Athlete ambazo kwa L300 zinakaa mapema tu
Crown 180kph! Bampa to bamba mbio fupi fupi zinazo zuia mtu kukimbia zaidi ya 180kph mbona wanafatana vizuri.. Pia kuna LC300 zinaishia 180 😀😀😀Hizi Crown si zina 180kph limit?
Mbio fupi zipi? Kutoka kwenye mataa mlimabi city hadi mawasoliano? Kwenda mkoani haitobio hata km1. Achana na mziko wa VX-R labda Crown iwe 2GR na limiter zaidi ya 180kph.Crown 180kph! Bampa to bamba mbio fupi fupi zinazo zuia mtu kukimbia zaidi ya 180kph mbona wanafatana vizuri.. Pia kuna LC300 zinaishia 180 😀😀😀
Tuchukulie kutoka dar hadi morogoro. 2GR ina nguvu na nachepuka haraka, ila haiwezi gusa kwa majesta yenye hizi spec.. ambayo naona inaweza toa changamoto kwa hiyo VXRMbio fupi zipi? Kutoka kwenye mataa mlimabi city hadi mawasoliano? Kwenda mkoani haitobio hata km1. Achana na mziko wa VX-R labda Crown iwe 2GR na limiter zaidi ya 180kph.
Tatizo la hizi gari ni limiter. Sijui hio Majesta kama haina 180 limiter. Sasa Vxr inatoboa 240+ . Majesta itawahi kilometre ya kwanza tu.Tuchukulie kutoka dar hadi morogoro. 2GR ina nguvu na nachepuka haraka, ila haiwezi gusa kwa majesta yenye hizi spec.. ambayo naona inaweza toa changamoto kwa hiyo VXRView attachment 2319217
Shida ya hizo ni hiyo 180. Na kuondoa limiter kwenye gari za toyota nahisi kama sio sawa kidogo maana hizi gari zake ukifika 160 au 170 unaona kabisa inachomoka tofauti na gari ambazo zimekiwa na uwezo wa kwenda zaidi ya 180 kutoka kiwandani, unaweza fika 170 au 180 unaona kawaida tuTatizo la hizi gari ni limiter. Sijui hio Majesta kama haina 180 limiter. Sasa Vxr inatoboa 240+ . Majesta itawahi kilometre ya kwanza tu.
The beastKitu kipo sokoni [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2319234
Hizi machine LC300 zinanikosha muonekanao wake hasa ile L300 GR Sport na ile VXRThe beast