Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ila naitamani experience ya LC3OO VX-R yake sijui itakuwaje in real practice maana horsepower ni ya hatari. Watu washaujaribu moto wake huko highway haushikiki.
Hii LC300 VX-R inapata ushindani mzuri tu kwa Majesta V(S200), inacheua 347HP, na 460Nm, hasa kama dereva anajua mahala pa bampa to bampa sema hizi Majesta ni chache, wengi wana Crown Athlete ambazo kwa L300 zinakaa mapema tu
 
Watu kazi wa road trip embu njoeni mnitoe ushamba, mnaposema madereva wa IT mnamaanisha nini, yaan IT ni nini?
Yes magari yanayopitia bandari yetu na kupelekwa nchi jirani kama Rwanda, Burundi 🇧🇮, congo, zambia malawi au Zimbabwe 🇿🇼, elewa hayajasajiliwa rasmi hapa,means international Transit (IT)ndio yanatambulishwa hivyo, madereva wake wengi ni wazoefu wa njia maana wanasafiri almost kila siku, yaani mtu anakamata T1,saa 0500am yupo Tunduma anaacha gari pale border, analamba Sauli back to Dar ili akamate IT nyingine, safari nyingi salama means more money, nadhani ni 100usd kwa gari
 
Crown 180kph! Bampa to bamba mbio fupi fupi zinazo zuia mtu kukimbia zaidi ya 180kph mbona wanafatana vizuri.. Pia kuna LC300 zinaishia 180 😀😀😀
Mbio fupi zipi? Kutoka kwenye mataa mlimabi city hadi mawasoliano? Kwenda mkoani haitobio hata km1. Achana na mziko wa VX-R labda Crown iwe 2GR na limiter zaidi ya 180kph.
 
Mbio fupi zipi? Kutoka kwenye mataa mlimabi city hadi mawasoliano? Kwenda mkoani haitobio hata km1. Achana na mziko wa VX-R labda Crown iwe 2GR na limiter zaidi ya 180kph.
Tuchukulie kutoka dar hadi morogoro. 2GR ina nguvu na nachepuka haraka, ila haiwezi gusa kwa majesta yenye hizi spec.. ambayo naona inaweza toa changamoto kwa hiyo VXR
81BB5512-ECEE-486B-890A-89E48B932888.jpeg
 
Tuchukulie kutoka dar hadi morogoro. 2GR ina nguvu na nachepuka haraka, ila haiwezi gusa kwa majesta yenye hizi spec.. ambayo naona inaweza toa changamoto kwa hiyo VXRView attachment 2319217
Tatizo la hizi gari ni limiter. Sijui hio Majesta kama haina 180 limiter. Sasa Vxr inatoboa 240+ . Majesta itawahi kilometre ya kwanza tu.
 
Tatizo la hizi gari ni limiter. Sijui hio Majesta kama haina 180 limiter. Sasa Vxr inatoboa 240+ . Majesta itawahi kilometre ya kwanza tu.
Shida ya hizo ni hiyo 180. Na kuondoa limiter kwenye gari za toyota nahisi kama sio sawa kidogo maana hizi gari zake ukifika 160 au 170 unaona kabisa inachomoka tofauti na gari ambazo zimekiwa na uwezo wa kwenda zaidi ya 180 kutoka kiwandani, unaweza fika 170 au 180 unaona kawaida tu
 
Back
Top Bottom